Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makonda Bashite kaogopa kisomo cha mashehe ndipo kamtoa haraka.
Sasa ninaanza kupata wasiwasi kuwa waliohusika ktk mchezo huu ndiyo waliohusika kumpoteza Ben Saa 8
Jamaa gani haoHhahhaha hawa jamaa sijui wamekula yamini gani.
Inategemewa na ulivyowekewa na waliokuwekea wanataka ' Ufe ' lini. Naomba niishie hapa tafadhali!
kafie mbali zingie ni arsenic,Inategemewa na ulivyowekewa na waliokuwekea wanataka ' Ufe ' lini. Naomba niishie hapa tafadhali!
Natabiri ataambiwa asiseme lolote asiaribu upelelezi.Roma aseme ukweli ukweli mtupu,wamepatikanaje?walikuwa wapi?Kilaza mmoja alisema watapatikana kabla ya jpili.Tumeshaconnect dots.
Kuna dalili gani za utawala kukataa kukosolewa?Unaona sasa?! kuwafanya watu matahaira !! Utawala ni lazima ikubali kukosolewa wala si uadui
kweli wamemwachia kabla ya jumapili
Sema namuamini mange ..... Usione aibuNimeamini Bashite anahusika hatari sana....
KaumbikaNi hizi skin tight ndiyo zinawatoa ujasiri wanaume wa Dar kila wakimuona Bashite![]()
NANI HUYO KAUMBIKA?Kaumbika
Rudi tena darasani Mkuu halafu kajifunze upya maana na dhana nzima ya kitu kiitwacho ' <b>Labelling Theory</b> ' kisha utaelewa ni kwanini sasa hivi kila kitu kibaya Bashite wako huyo anahusishwa nacho. Matendo yake ya awali ambayo mengi ni ya ' Kipuuzi ' ndiyo yana justify yeye kuwa labelled hivyo na ukishangaa kuna siku pia anaweza kujitokeza Mtu tu akaachia Kimba pale Magogoni kwa nje na tutamhisi yeye huyu huyu Bashite wako. Mbona atatukoma mwaka huu!
bashiiiiite on fireeeeeeeeeeeeeeeeee [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Duh, Kwahiyo Bashite ameshamuachia, Maana aliahidi atapatikana kabla ya kesho
[emoji3] [emoji3] kaijulia kwenye seriesNani kakwambia CYANIDE inaua polepole?! Ukipigwa hiyo, huchukui round kwa sababu hutaweza kupumua.
[emoji3] [emoji3] kaijulia kwenye seriesNani kakwambia CYANIDE inaua polepole?! Ukipigwa hiyo, huchukui round kwa sababu hutaweza kupumua.