Ana ushahidi gani wengine hawatumbuliwi kwa kughushi vyetiWimbo wa Roma ulilalamikia wengine kutumbuliwa kwa sababu ya kughushi vyeti huku Makonda akikingiwa kifua na watumbuaji. Uutafute huo wimbo uusikilize utajijibu mwenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana ushahidi gani wengine hawatumbuliwi kwa kughushi vyetiWimbo wa Roma ulilalamikia wengine kutumbuliwa kwa sababu ya kughushi vyeti huku Makonda akikingiwa kifua na watumbuaji. Uutafute huo wimbo uusikilize utajijibu mwenyewe.
Kweli posho zinawaumiza mbowe amekujaje? HapoKwahiyo leo Mbowe akisema Ben atapatikana, inamaana yeye ndie atakuwa kamshika au ni hizo posho mnazopewa na nyie?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kapatika kituo cha Polisi anafanya nini?
Alifuata nini kituoni,si KAMANDA alisema hawajui halipo au amekwenda kutoa maelezo?
Nimeiweka makusudi kabisa , siasa za nchi hii zinaendeshwa kishamba sana .Hili muhimu sana kufanyika tena bila kuchelewa.
Yes bila domo la watanzania mngemuua nyie.Mabongo yanapenda kupiga domo kwenye kila kitu, hata wasichokijua vizuri - Ni domo domo domo kama chiriku
Anzisha uziAna ushahidi gani wengine hawatumbuliwi kwa kughushi vyeti
Mods edit heading isomeke
" bashite amrudisha roma mkatoliki"
Mkuu, unamchora nn Mungu wa Dar😀😀😀Hata kama tunamchukia kwa kiasi gani hatuna budi kumpongeza Rc wa Dar Es Salaam kwa juhudi zake alizozifanya mpaka kupatikana kwa Msanii Roma Mkatoliki. Hongera RC Paul Makonda.
Nimeiweka makusudi kabisa , siasa za nchi hii zinaendeshwa kishamba sana .Hili muhimu sana kufanyika tena bila kuchelewa.
Vipi kuhusu wenzake...i mean Moni na producer Bin LadenMsanii Roma Mkatoliki anadaiwa kupatikana na yupo Kituo cha Polisi Oysterbay jijini Dar.
Habari ya akina Roma kupatikana imethibitishwa na Mkurugenzi wa Tongwe Records J. Mada.
Bado hakuna maelezo ya kutosha kuhusiana na wapi walipokuwa na nani waliokuwa wamewashikilia. Kwa sasa wanadaiwa kuwepo kituoni hapo kwa taratibu za kipolisi kwa kuwa jalada la kupotea kwao lilifunguliwa hapo.
Kupatikana kwao kumefuatia wito mkubwa uliokuwa ukipaishwa na wasanii wenzake na mashabiki kuhusu kuachiliwa huru, ndani na nje ya mitandao ya kijamii.
Awali, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, Kamishina Simon Sirro alisema bado walikuwa wakiendelea na upelelezi wa tukio la kupotea (kutekwa) kwa msanii Roma Mkatoliki na wenzake.
Taarifa zaidi zinafuata..
View attachment 492792
View attachment 492791
Wanamwogopa maana hua hakawizi kufanya maamuziAtuambie kwanza kipi kilichomsukuma kutuambia jana kuwa Roma atapatkana kabla ya J2 yaani leo kama si kuwa alkuwa anajua aliko.
Akiniweka sawa hapo ndo ntampa hongera yangu
Kwani makonda ndiye kawatoa huko walipo jifichaHata kama tunamchukia kwa kiasi gani hatuna budi kumpongeza Rc wa Dar Es Salaam kwa juhudi zake alizozifanya mpaka kupatikana kwa Msanii Roma Mkatoliki. Hongera RC Paul Makonda.
Unaitwaje huo wimbo?Wimbo wa Roma ulilalamikia wengine kutumbuliwa kwa sababu ya kughushi vyeti huku Makonda akikingiwa kifua na watumbuaji. Uutafute huo wimbo uusikilize utajijibu mwenyewe.
Huko walikomuokoa hakujatokea urushianaji wa risasi.