Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

Sikitiko langu ni Kwa Wale wenzangu na mie ambao hata kwa Mwenyekiti wa Mtaa hatujulikani, je ukitekwa nani atajua umefanyiwa nini au umepotea? Mungu Aingilie kati Ujinga unaofanywa na Dikteta Uchwara huyu amuumbue.
 
Michezo ya hatari hasa ya Kimafia naijua na naifuatilia sana katika ' Sinema ' mbalimbali hivyo nilichokisema ni sehemu yangu ya msaada mkubwa tu Kwake na isitoshe sijamtuhumu yoyote juu ya kukamatwa Kwake bali nimemshauri tu tafadhali.
[emoji106]
 
Kwahiyo leo Mbowe akisema Ben atapatikana, inamaana yeye ndie atakuwa kamshika au ni hizo posho mnazopewa na nyie?
Leo Mbowe aseme Roma atapatikana kabla ya Jumatatu kwa maana ya kesho,akapatikana kweli hiyo kesho basi yeye atakuwa anahusika!
 
Jambo la kwanza ni kumshukuru Mungu ...
Halafu pili tunasema hivi watanzania hatuchezewi akili na Mungu anaona
Ili jambo mungu hausiki.maana ni mipango.kumshukuru mungu ni kama kumkejeli.wakati hyo ni movie.
 
Makonda Bashite kaogopa kisomo cha mashehe ndipo kamtoa haraka.

Mashehe huwa hawatanii kabisa Mkuu kwani wangeweza hata kuihamisha ' naliliu ' yake ya kuiweka katika paji lake la uso na iwe ' inaning'inia ' tu ' mubashara ' 24/7.
 
Raund hii mtatetea hadi mkipigwa dole.
Mtekaji alisema atawaachia kabla ya jumapili.......Makonda anajua alipokuwa [HASHTAG]#Roma[/HASHTAG]
 
Mabongo yanapenda kupiga domo kwenye kila kitu, hata wasichokijua vizuri - Ni domo domo domo kama chiriku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…