Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

Kwahiyo leo Mbowe akisema Ben atapatikana, inamaana yeye ndie atakuwa kamshika au ni hizo posho mnazopewa na nyie?
Kweli posho zinawaumiza mbowe amekujaje? Hapo
 
Hapa polisi inatakiwa iwakamate watu wafuatao wasaidie upelelezi nini kilitokea! Kwanza Daudi Alubati Bashite, Lizaboni, Stroke, Ruttashobolwa, Cocochanel na ikiwezekana laki si pesa. Huwezi ukasema watapatikana kabla ya Jumatatu halafu kweli wapatikane leo! Utakuwa uliwashikilia wewe!!
 
Hata kama tunamchukia kwa kiasi gani hatuna budi kumpongeza Rc wa Dar Es Salaam kwa juhudi zake alizozifanya mpaka kupatikana kwa Msanii Roma Mkatoliki. Hongera RC Paul Makonda.
Mkuu, unamchora nn Mungu wa Dar😀😀😀
 
Atuambie kwanza kipi kilichomsukuma kutuambia jana kuwa Roma atapatkana kabla ya J2 yaani leo kama si kuwa alkuwa anajua aliko.
Akiniweka sawa hapo ndo ntampa hongera yangu
 
Vipi kuhusu wenzake...i mean Moni na producer Bin Laden
 
Hii nchi niliichukia Sana kipindi cha kikwete mambo yalikuwa hayaeleweki, ila hii awamu kuna ya kustaajabishA mengi naipenda Sana Tanzania ya viwanda vya vibamia, tango, na miogo ili tufyatuane
 
Hivi vile vikundi vya ulinzi vya vyama vya siasa - green, red na blue guards bado vipo? Na kama vipo, majukumu yao hasa kwa sasa ni yapi?
 
Huko walikomuokoa hakujatokea urushianaji wa risasi.
 
Atuambie kwanza kipi kilichomsukuma kutuambia jana kuwa Roma atapatkana kabla ya J2 yaani leo kama si kuwa alkuwa anajua aliko.
Akiniweka sawa hapo ndo ntampa hongera yangu
Wanamwogopa maana hua hakawizi kufanya maamuzi
 
Hata kama tunamchukia kwa kiasi gani hatuna budi kumpongeza Rc wa Dar Es Salaam kwa juhudi zake alizozifanya mpaka kupatikana kwa Msanii Roma Mkatoliki. Hongera RC Paul Makonda.
Kwani makonda ndiye kawatoa huko walipo jificha
 
Wimbo wa Roma ulilalamikia wengine kutumbuliwa kwa sababu ya kughushi vyeti huku Makonda akikingiwa kifua na watumbuaji. Uutafute huo wimbo uusikilize utajijibu mwenyewe.
Unaitwaje huo wimbo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…