BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Watuache tupumueWaongo sana hawa wahuni na wauaji.
Yaani toka mwaka uanze ni series moja kwenda nyingine hata maji hatunywi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watuache tupumueWaongo sana hawa wahuni na wauaji.
Roma kapatikana, ataelezea tukio zimaAtuambie kwanza kipi kilichomsukuma kutuambia jana kuwa Roma atapatkana kabla ya J2 yaani leo kama si kuwa alkuwa anajua aliko.
Akiniweka sawa hapo ndo ntampa hongera yangu
Kwa ficha halafu anatuletea mwenyeweMakonda bonge la MTU....jamaa anapiga kazi.
SipangiwiAnzisha uzi
Inauma sana kuona wasanii wanapotezwa kiajabuajabu kwa sababu tu ya kusimamia ukweli kupitia kazi zao za sanaa. Wakati hizi sinema zikiendelea, tukumbuke kuwa katika uchaguzi mkuu uliopita wasanii walikomaa mwanzo mwisho. Hapa ndipo tunapojifunza kuwa urafiki na baadhi ya watu ni sawa kabisa na urafiki kati ya paka na panya. Aidha, matukio haya ya utekaji yanatukumbusha usemi usemao 'SHUKRANI ZA PUNDA NI MATEKE'. Tuwashukuru wasanii waliosimama kidete kudai kurudishwa kwa msanii mwenzao, vinginevyo tungeokota mzoga unaelea mtoni kwenye kiroba. Eee Mungu tusaidie sisi waja wako tunaopukutishwa kama majani ya kiangazi kila kukicha. Amina.Msanii Roma Mkatoliki anadaiwa kupatikana na yupo Kituo cha Polisi Oysterbay jijini Dar.
Habari ya akina Roma kupatikana imethibitishwa na Mkurugenzi wa Tongwe Records J. Mada.
Bado hakuna maelezo ya kutosha kuhusiana na wapi walipokuwa na nani waliokuwa wamewashikilia. Kwa sasa wanadaiwa kuwepo kituoni hapo kwa taratibu za kipolisi kwa kuwa jalada la kupotea kwao lilifunguliwa hapo.
Kupatikana kwao kumefuatia wito mkubwa uliokuwa ukipaishwa na wasanii wenzake na mashabiki kuhusu kuachiliwa huru, ndani na nje ya mitandao ya kijamii.
Awali, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, Kamishina Simon Sirro alisema bado walikuwa wakiendelea na upelelezi wa tukio la kupotea (kutekwa) kwa msanii Roma Mkatoliki na wenzake.
Taarifa zaidi zinafuata..
View attachment 492792
View attachment 492791
Msiofikiri kwa kutumia vichwa asanteni. Wasanii na ndugu wameitisha conf. wakamtuhumu huyo bosi wenu kuwa anajua mwenzao alipo, muda mfupi naye anajitokeza anasema kabla ya jumapili atakuwa amepatikana, inafika jumamosi(ambayo obviously ni kabla ya jumapili) Roma anapatikana. Inahtaji kiwango gani cha elimu kujumlisha moja na moja na kupata 2??Hata mimi kwa kweli, watu hawatumii akili, wanapelekwa tu kama mahindi ya kuchoma
Ukiwa nunda lazima wakuletee maseries!Watuache tupumue
Yaani toka mwaka uanze ni series moja kwenda nyingine hata maji hatunywi
Hapo kuna walakiniKama Polisi wanasema hatujui na tunafanya uchunguzi..! Na Bashite ambaye si polisi anasema tutampata kabla ya Jumapili..! na leo ni Jumamosi na habari inasema amepatikana...! Kwa busara ya kawaida tu tutasema nini hapa?