Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

Ukistaajabu ya Nape kutolewa bastola mchana kweupe na mtu asiyekamatika, utasikia ya "kutekwa" kwa Roma. Nchi ya kusadikika hii!!!!!!!!!!!!!!!
 
Nini maana ya haya yote polisi si walikana kuhusika? Tunataka kuwajua waliomteka na hatua gani zitafuata baada ya hao watu kupatikana
Mkuu ukijibiwa maswali yako
Usikose kunishitua na Mimi.

Maana,ni maswali muhimu.
 
hivi mmelishwa karanga za moto!
mbona kila tukio in dar ni bashite bashite! akha! asingesema chochote napo sijui mngesemaje kuna watu humu mnahukumu mtu hata uthibitisho hakuna! haya mambo naanza kuyaangalia upande wapili sasa...

Kumbe ameshakubali jina lake? Hatosemwa km akijitoa ktk kuongoza kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa. Watu humu wanajua wapige wapi ili kelele zifike.

Mwambie aweke na vyeti yaishe!
 
Taarifa ya polisi itakuwa hivi :Tulimuhifadhi msanii roma pamoja na mwenzake, kwani tuliofia usalama wake baada ya kuwa anafatiliwa na waahalifu waliotaka kumfanyia uovu.
Ngumu hiyo .usisahau watadaiwa wamlete Ben Saanane
 
Makonda alisema atapatikana kabla ya jumapili
Hujateka lkn unajua siku mateka atapatikana!Hivi kinana amerudi kutoka alipoagizwa kwenye matibabu kwa siku 14?!Duh,wamuache tu hata kama ana sifuri na feki feki
 
Bashite in action.

Bila shaka kuna watu, including journalists wameshalipwa ili kuonyesha/kuandika "ushujaa" na "uzalendo" wa Daudi Bashite.

Tumewashtukia.
 
What about Ben Saa Nane jamani.
Wajaribu kuvaa viatu vya wazazi ndugu na jamaa zake wako ktk Hali gani mpaka sasa?
Serikali vyama vya siasa mashirika ya utetezi vyombo vya ulinzi na usalama tafadhali tusaidieni kumpata Ben na wengine wasio na majina wanaoendelea kutoweka
Bashite nimtuhumiwa namba moja
 
Bashite:Roma ukisema mim ndio nimekuteka unaenda jela miezi sita au nakuunganisha kwny list ya madawa ya kulevya!
 
Msiofikiri kwa kutumia vichwa asanteni. Wasanii na ndugu wameitisha conf. wakamtuhumu huyo bosi wenu kuwa anajua mwenzao alipo, muda mfupi naye anajitokeza anasema kabla ya jumapili atakuwa amepatikana, inafika jumamosi(ambayo obviously ni kabla ya jumapili) Roma anapatikana. Inahtaji kiwango gani cha elimu kujumlisha moja na moja na kupata 2??
Hivi wewe kwa akili tu za kuzaliwa, makonda amkamate roma kwa lipi? Mangapi makonda katukanwa?? Mmeanza kwenye vyeti mpaka video da kejeli mkatumiana, makonda alihangaika na nyie? Mbona mnamtafuta hivyo? Aliwakosea nini? Acheni mambo ya kizamani nyie, wivu wenu na chuki zisizo na sababu hazitawapeleka kokote
 
Bashiteh ana akili sana. Mm nashangaa watu hunena jamaa kafeli uku hadi sasa hakuna mwenye akili kama yeye mkoa mzima.
 
Back
Top Bottom