Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

Nawasubiri wale misukule wa Lumumba ambao walisema kajificha kutafuta kiki.
 
ha ha kama una vyeti vya o inatumika gharama kubwa sana kukubalika ,hatimae ameachiwa kutoka prison ndogo ya Daudi Bashite
 
Kapatikana kituo cha polisi..sawa tunangoja taarifa..
 
Daud albert bashite Mungu akulaani miaka milioni, machozi ya woote waliolia yakufwate na malaana mpk utakapokufa *****
 
Yule mpuuzi mwigulu alijibaraguza kushangaa kupotea kwa Roma kumbe yuko chini ya himaya yake! Hongereni sana Watanzania wote mliopiga kelele kwa nguvu zenu zote kuhusu huu ujinga unaoendelea nchini unaofanywa na huyu ShilawaDU. ShilawaDU alaaniwe na Mungu.
 
Igp Yupo Kimya
Waziri Wa Mambo Ya Ndani Kimya
Waziri Wa Habari Utamaduni Michezo Kimya
 
Roma alikua anacheza kombolera na bashite.
 
Hahahahahaha... Dah

Kweli bongo, bongo nyoso...
Walipolala ndipo vijana wanapoamkia daily..
Hongereni sana vijana mlioliona hili jambo toka linatokea....

Roma..Mathematics..
Viva rRoma Viva
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…