Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alijuaje? Alipanga matokeo?Makonda alisema atapatikana kabla ya jumapili
Hivi swala la Ben wao hawawezi kulivalia njuga???Wamemuogopa Tundu Lissu maana amesema analivalia njuga
Lisu+Kibatala ni kiboko ya maharamia!
amepatikana huko alikopatikana halafu kapelekwa kituoniKama kweli kamanda sirro anatakiwa kuwajibishwa kwa kutoa Taarifa za uongo maana alikanusha kuwa hakuna kituo kinacho mshikiria, lakin kwa upande mwingine tumsamehe tu mzee wawatu kwa sababu mzee wawatu alikuwa msafi ila anatiwa najisi bila ridhaa hana namna mzee wawatu anapitia kipind kigumu sana sasa nadhana atakuwa anataman mda wa kustaafu ufike haraka ili kikombe hiki akihepuke.
Dah.... Alosto hizo.... wakipona wataacha[emoji13] [emoji13]hivi mmelishwa karanga za moto!
mbona kila tukio in dar ni bashite bashite! akha! asingesema chochote napo sijui mngesemaje kuna watu humu mnahukumu mtu hata uthibitisho hakuna! haya mambo naanza kuyaangalia upande wapili sasa...
Ikiwezekana atafutwe Daktari binafsi ampime kama ana vimelea vyovyote vya sumu kali ya cyanide tafadhali. Hili lifanyike upesi kama siyo haraka tafadhalini.