Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kweli kamanda sirro anatakiwa kuwajibishwa kwa kutoa Taarifa za uongo maana alikanusha kuwa hakuna kituo kinacho mshikiria, lakin kwa upande mwingine tumsamehe tu mzee wawatu kwa sababu mzee wawatu alikuwa msafi ila anatiwa najisi bila ridhaa hana namna mzee wawatu anapitia kipind kigumu sana sasa nadhana atakuwa anataman mda wa kustaafu ufike haraka ili kikombe hiki akihepuke.Msanii Roma Mkatoliki anadaiwa kupatikana na yupo Kituo cha Polisi Oysterbay jijini Dar.
Taarifa zaidi zinafuata..
View attachment 492792
View attachment 492791
Lini ataita waandishi wa Habari ateme kilichomsibu?Msanii Roma Mkatoliki anadaiwa kupatikana na yupo Kituo cha Polisi Oysterbay jijini Dar.
Habari ya akina Roma kupatikana imethibitishwa na Mkurugenzi wa Tongwe Records J. Mada.
Taarifa zaidi zinafuata..
View attachment 492792
View attachment 492791
Duuh, kila watakalofanya la hila halitafanijiwa...hii nchi basi tenaMakonda alisema atapatikana kabla ya jumapili
Now you knowWTF!!!!!
Hela za kuwalipa wanazo? na mziki wa bongo ulivyo na stressNi heri kama amepatikana sasa inatakiwa baadhi ya public figures kama hawa wasanii nk kuwa na private guards walobobea kwenye VIP protection kwa usalama wao.