Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

Taarifa ya polisi itakuwa hivi :Tulimuhifadhi msanii roma pamoja na mwenzake, kwani tuliofia usalama wake baada ya kuwa anafatiliwa na waahalifu waliotaka kumfanyia uovu.
 
Nini maana ya haya yote polisi si walikana kuhusika? Tunataka kuwajua waliomteka na hatua gani zitafuata baada ya hao watu kupatikana
 
hivi mmelishwa karanga za moto!
mbona kila tukio in dar ni bashite bashite! akha! asingesema chochote napo sijui mngesemaje kuna watu humu mnahukumu mtu hata uthibitisho hakuna! haya mambo naanza kuyaangalia upande wapili sasa...
 
Ungeseeee huu...........maigizo kila siku
 
Kama ingekuwa fb au ig nngeshatoa mitusi kwa bashite. Aisee huyu DAB NI MUUAJI
 
Back
Top Bottom