Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,345
- 10,885
Nothing. It doesn't deserve kuitwa opinion. Don't ask me what an opinion is....What is it that you quoted?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nothing. It doesn't deserve kuitwa opinion. Don't ask me what an opinion is....What is it that you quoted?
Ujinga tu..Wanatumia kodi zetu kwa mambo ya kijingasasa walikuwa wanaongea nini kwenye media blah blah kibao
Ni sarakasi na maigizo ya kitoto mkuu!!Nini kinaendelea huko Tz?
Babu tale kala mpunga wa Daud makonda kutengeneza movie feki kama mwenye vyeti feki.Movie imeisha kama hivi. Director chalii maana movie imebuma
Mpaka watoke damu masikioniNow you know
Akapanga kumtoa kabla ya J2! Mmmh! Huo, ni, usanii,mtupu,hakuna kiki yeyote, ni hatari tupu.Bashite nouma, naskia alikuwa kamficha kwa Dada yake cocochanel ?
Habari za Asubuhi mkuu!What is it that you quoted?
Hizo sinema za wasukuma wawili safari hii zitajaa makabati maana huko mbeleni kuna sinema nyingi watazitengeneza.
Roma kapatikana na vip wengine maana wapo wengi bado hao watatu maana tusijifanye tuna mkumbuka race ma utadhan alitekwa pekeyakeMsanii Roma Mkatoliki anadaiwa kupatikana na yupo Kituo cha Polisi Oysterbay jijini Dar.
Habari ya akina Roma kupatikana imethibitishwa na Mkurugenzi wa Tongwe Records J. Mada.
Taarifa zaidi zinafuata..
View attachment 492792
View attachment 492791
Karbu tena Shujaa wetu roma mkatolikiMsanii Roma Mkatoliki anadaiwa kupatikana na yupo Kituo cha Polisi Oysterbay jijini Dar.
Habari ya akina Roma kupatikana imethibitishwa na Mkurugenzi wa Tongwe Records J. Mada.
Taarifa zaidi zinafuata..
View attachment 492792
View attachment 492791
ahaaa kama ile ya gwajima na yule mama sio?Babu tale kala mpunga wa Daud makonda kutengeneza movie feki kama mwenye vyeti feki.