Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

polisi walitamka hawa tambui utekwaji wala kuwepo kituo chochote sasa kapatikana ostabey polisi.huko kafata nini...? au kajisarimisha
 
#KAMA NI [HASHTAG]#BASHITE[/HASHTAG] KWELI AMEHUSIKA [HASHTAG]#BASI[/HASHTAG] TUKUTANE JUMAPILI PALE KANISANI KWA [HASHTAG]#GWAJIMA[/HASHTAG] MANA ATAKUWA ANAFAHAMU UKWELI KAMA WA KUVAMIWA KITUO CHA REDIO
 
Roma kapatikana na vip wengine maana wapo wengi bado hao watatu maana tusijifanye tuna mkumbuka race ma utadhan alitekwa pekeyake
 
Kama amepatikana ni vizuri kwasababu maswali yamukua mengi mno.
 
Bashite alitafuta namna ya kupunguza watu watakaofuatilia mkutano wa Nape. Ni vita ya chini kwa chini hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…