Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
There you have it. You gave your opinion! [emoji106] [emoji106] [emoji106]Quoted nothing, and gave my opinion!
hivi mmelishwa karanga za moto!
mbona kila tukio in dar ni bashite bashite! akha! asingesema chochote napo sijui mngesemaje kuna watu humu mnahukumu mtu hata uthibitisho hakuna! haya mambo naanza kuyaangalia upande wapili sasa...
Daudi Bashite mkuusasa tujue nani yupo nyuma ya hii movie
husilopoke= usiropokekafanya nini? husilopoke kama taahira wewe
Historia itajielezahivi mmelishwa karanga za moto!
mbona kila tukio in dar ni bashite bashite! akha! asingesema chochote napo sijui mngesemaje kuna watu humu mnahukumu mtu hata uthibitisho hakuna! haya mambo naanza kuyaangalia upande wapili sasa...
Amii forum imeandika wapi kuwa bashite ndio anamshikilia?Sasa jamiiforum inakuwa kama magazeti ya udaku tu. Nani mwenye uhakika kuwa Bashite ndie alie mshikilia?
Daud Bashite na Msukuma mwenzake wanashindana na Nape wakati mwenzao yeye anajifanyia mambo yake pasipo kutaka kushindana nao, Nape kaamua kuendelea na maisha lakini Bashite bado anamfuata fuata.Hapa nimeamini walichukuliwa ili issue itrend then leo wawatoe ili kuzima mkutano wa nape. Hii nchi kiki hadi kwenye uhai wa mtu aisee. Sipati picha kama tungekaa kimyaaa yangetokea ya saa8