Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

Jana alikosekana vituo vyote leo kapatikana
 
Bashite ni mtu wa kiki na safari hii lazima imtokee puani
Hata kama anakingiwa kifua na bwana yule
 
Ajabu nobody so far has tried to cash-in on bashite mania kwa ku print t shirts with silly bashite themed captions. Theres serious money to be made on this totally crazy phenomenon.
 
hivi mmelishwa karanga za moto!
mbona kila tukio in dar ni bashite bashite! akha! asingesema chochote napo sijui mngesemaje kuna watu humu mnahukumu mtu hata uthibitisho hakuna! haya mambo naanza kuyaangalia upande wapili sasa...

Rudi tena darasani Mkuu halafu kajifunze upya maana na dhana nzima ya kitu kiitwacho ' Labelling Theory ' kisha utaelewa ni kwanini sasa hivi kila kitu kibaya Bashite wako huyo anahusishwa nacho. Matendo yake ya awali ambayo mengi ni ya ' Kipuuzi ' ndiyo yana justify yeye kuwa labelled hivyo na ukishangaa kuna siku pia anaweza kujitokeza Mtu tu akaachia Kimba pale Magogoni kwa nje na tutamhisi yeye huyu huyu Bashite wako. Mbona atatukoma mwaka huu!
 
Bashite alisema atapatikana kabla ya Jumapili.

Kwa tukio la kupatikana kwa Roma ni dhahiri shairi kuwa Bashite yupo nyuma ya mpango huu, na amefanya tukio kizembe mno.
 
Watanzania tunaongea sana yani mpka unajiuliza tunatumia kinywaji gani. Loo. Hivi Mtu hawezi kuchukuliwa na Mdai wake. Au mbaya wake nk. Hizi conclusions mwendo kasi. Zitafanya watu wabaya wafanye maovu na kuwaacha wananchi wasingizie watu fulani. Tumeshakuwa na majibu sasa tunasubiri maswali. Its very sad.
 
Kwa juhudi kubwa zilizofanyika kwa kumpata Roma,Basi na wale wanaotangazwagwa Itv tuwasaidi kama ivi
 
Kunahatari bunge litaisha hata watu wasijue bunge la bajeti limejadili nini,

kwa hizi muvi tukutane 2018/2019
 
Nchi rasmi imeingiliwa kinyume na maumbile yaani simply IMENAJISIWA na hawa wahuni,tunakoelekea matatizo yetu yataendelea kua mtaji wa kisiasa kwao maana wanagombea kuwekwa kwenye ukurasa wa mbele wa magazeti
 
  • Thanks
Reactions: BAK
hivi mmelishwa karanga za moto!
mbona kila tukio in dar ni bashite bashite! akha! asingesema chochote napo sijui mngesemaje kuna watu humu mnahukumu mtu hata uthibitisho hakuna! haya mambo naanza kuyaangalia upande wapili sasa...
Historia itajieleza
 
Hapa nimeamini walichukuliwa ili issue itrend then leo wawatoe ili kuzima mkutano wa nape. Hii nchi kiki hadi kwenye uhai wa mtu aisee. Sipati picha kama tungekaa kimyaaa yangetokea ya saa8
Daud Bashite na Msukuma mwenzake wanashindana na Nape wakati mwenzao yeye anajifanyia mambo yake pasipo kutaka kushindana nao, Nape kaamua kuendelea na maisha lakini Bashite bado anamfuata fuata.
 
Back
Top Bottom