Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

Kama Roma hatosema alikopelekwa bado tutakua na maswali ya kujiuliza ila sina shida kuhusu hilo maana naamini hip-hop ni kusema ukweli na namwamini Roma atazingatia nguzo hiyo
 
Najaribu tu kuwaza,aliachiwa huko alikotekwa?au alitoroka?aliokolewa au ilikuaje hadi akapatikana
 
NINGEKUWA MZEE WA SUTI ZA KIKOREA NIGEANZA NA WALIO KWENDA KILAUDISI
 
Baada ya kumteka walipoona watanzania wamepaza sauti sana eti bashite anajidai kamtafuta yeye hapa walikua wanatafuta kiki. Wamemteka wao na wamemuachia wao Tanzania bana dah! Eti wanajidai walikua wakifanya upelelezi duh! Ila twendetu tuone mwisho wao Tanzania itaponatu
 
...najiuliza kwanini mkuu wetu alijua kabisa ya kwamba Roma na wenzake watakuwa wamepatikana kabla ya Jumapili.

NAJIULIZA MASWALI YAFUATAYO.

1. Alikuwa na mawasiliano na watekaji?
2. Sasa jiulize alijua walipo kwa muda ule?,
3. Alijua kuwa wapo hai?,
4. Alijua ratiba ya watekaji kwamba watamalizana naye muda gani?,
5. Atasema maneno yepi baada ya hawa jamaa kupatikana.

Kwa mbali naona Roma na wenzake wakieleza kisa chao kwamba walitekwa na wahuni tu waliokuwa wanataka maslahi kutoka kwao hata kama ukweli ni kwamba utekaji ulikuwa wa maelekezo na ..........!
 
Na wameenda hospital kufanya nini? Wamekutwa chini ya ardhi?
Maswali ni mengi sana
Bashite atakuwa kawatishia vya kutosha

Roma anachechemea lakini anawaambia waandishi Wa habari kuwa wao wako salama kabisa

Wameshindwa sema hata kwa ufupi kwa kilichotokea,eti Hadi jumatatu ndio wataongea,nafikiri wanaenda kukariri vizuri walichoambiwa kusema

Yani wazazi,mke na ndugu Wa huyu Roma bora wamfanyie full medical checkup na kama kuna hitilafu mahali,wamkamate Bashite upesi
 
...najiuliza kwanini mkuu wetu alijua kabisa ya kwamba Roma na wenzake watakuwa wamepatikana kabla ya Jumapili.

NAJIULIZA MASWALI YAFUATAYO.

1. Alikuwa na mawasiliano na watekaji?
2. Sasa jiulize alijua walipo kwa muda ule?,
3. Alijua kuwa wapo hai?,
4. Alijua ratiba ya watekaji kwamba watamalizana naye muda gani?,
5. Atasema maneno yepi baada ya hawa jamaa kupatikana.

Kwa mbali naona Roma na wenzake wakieleza kisa chao kwamba walitekwa na wahuni tu waliokuwa wanataka maslahi kutoka kwao hata kama ukweli ni kwamba utekaji ulikuwa wa maelekezo na ..........!
Wasiwasi Wa elimu za bashite na Makomeo unazidi kushamiri

Kama akili zako ni za kukopa lazima kila deal utakalopiga libume
 
Roma kanishangaza sana kusema ni mzima wakati anachechemea na mkononi kaumizwa,kwa alichofanyiwa lazima aanze kuimba taarab
 
Watakuwa waliwekwa kwenye chumba kilicho puliziwa sumu, Mara baada ya miaka 1 utaskia mtu flani ana cancer ya kichwa
 
Back
Top Bottom