single but used
Member
- Mar 2, 2017
- 14
- 7
mwanangu kua uyaoneTanzaniaaaaaaa eeeeee ......
nchi yangu eeee......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwanangu kua uyaoneTanzaniaaaaaaa eeeeee ......
NDO MASWALI TUNAYO JIULIZA WENGI HAYANA HATA MAJIBU MKUUAlifuata nini kituoni,si KAMANDA alisema hawajui halipo au amekwenda kutoa maelezo?
Maswali ni mengi sanaNa wameenda hospital kufanya nini? Wamekutwa chini ya ardhi?
KabisaNext ni Wema Sepetu,
Wasiwasi Wa elimu za bashite na Makomeo unazidi kushamiri...najiuliza kwanini mkuu wetu alijua kabisa ya kwamba Roma na wenzake watakuwa wamepatikana kabla ya Jumapili.
NAJIULIZA MASWALI YAFUATAYO.
1. Alikuwa na mawasiliano na watekaji?
2. Sasa jiulize alijua walipo kwa muda ule?,
3. Alijua kuwa wapo hai?,
4. Alijua ratiba ya watekaji kwamba watamalizana naye muda gani?,
5. Atasema maneno yepi baada ya hawa jamaa kupatikana.
Kwa mbali naona Roma na wenzake wakieleza kisa chao kwamba walitekwa na wahuni tu waliokuwa wanataka maslahi kutoka kwao hata kama ukweli ni kwamba utekaji ulikuwa wa maelekezo na ..........!
Usiseme mange sema kiboko ya Bashite hatari sanaSema namuamini mange ..... Usione aibu
Ulioratibiwa na boya originalwakapimwe sumu ila huu utekaji wa kiboya sana