ROMA ni Msanii wa ovyo. Aambiwe maua wanapewa wanawake

Hilo andazi analichagua wapi? Ndio maana nasema roma na washabiki wake wote ni wapumbavu
Wewe unayekasirika kisa wimbo ambao haukufaidishi kwa chochote ndiye mpumbavu.

Kila mtu anachagua awe mpumbavu kwa angle ipi, wewe umechagua kuwa mpumbavu kwa namna hiyo, acha na mashabiki wake wawe wapumbavu kwa namna yao
 
Hayo ni mawazo yako sio lazima tufanane...mie namwelewa
Roma ni msanii na ni mwanaharakati, uwanaharakati unaweza ukawakilishwa kwa njia nyingi Kama hii moja wapo ya mziki. Kama wewe Countrywide humuelewi Roma na unawaelewa kina Kondeboy, Zuchu na the likes, wapo wanaomuelewea Roma kama Mimi na Mrs Lissu
 
Roma ni msanii mkali ila nyimbo zake are getting generic, nyingi zinafanana sana, and can't stand the test of time maana ni nyimbo za matukio.

Nyimbo zake kama mtoto wa kigogo, usimsahau mchizi na mkombozi are my favourite.
 
Maua huwa yanawekwa kwenye makaburi mtu akifa. Sasa huyu jamaa anaomba Yale maua ambayo mtayaweka kwenye kaburi lake apewe mapema Ili ayafaidi kuliko mumpe akiwa amekufa . Ule wimbo nimeuona na ni mzuri. Ukiona kazi ya fasihi huielewi ujue haikuhusu huenda inataka wenye uelewa na mlengo Fulani wa maisha.
 
Wewe mwehu kuna kupindi nchi hii kiliwekwa kivuli kipigiwe kura unalijua hilo. Na kuna watu walipigia kura kivuli wakaacha picha ya Mwinyi mzee.

Ulivo mpuuzi hata lugha ya picha hujuihalafu unajifanya kuchambua mziki.
 
Ngumu sana Kwa asiye mwanafasihi kumuelewa Roma

We tulia tu ufupi na upungufu wa fasihi
 
Kitu pekee nilicho note kwenye bandilo lako ni kwamba wewe ni mzee wa kujikomba komba a.k a... mlamba asali wa ccm( chama cha malimbukeni)
 
Wewe ni miongoni mwa wanawake wachache sana mnaojitambua kwenye nchi hii.

Una hoja unapaswa kusikilizwa..... [emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Unataka kila mtu awe mhasibu? Nani atatibu wagonjwa?
Bas sema hospital uliyopo tuje kupima vichocho
Na kama unajua kila mtu awez kuwa mhasibu na wew kasikiliza za zuchu waachie watu roma wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…