VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,365
Akiwa mtoto yatima (mama alifariki akiwa na mwaka mmoja na nusu na baba yake alifariki kwa ajali akiwa na miaka minne) Kwa sasa ni mtu wa nne kwa utajiri Russia na mmiliki wa Chelsea FC.
Alifanyaje Kupata Utajiri Wake
The Man did it all by himself na kwa kipindi kifupi sana kwa kutumia advantage, zilizokuwepo, (corruption na Umafia uliopo Russia). In short jamaa sio wa kuchezea
Alifanyaje Kupata Utajiri Wake
- Alivyokuwa Jeshini alifanya biashara ya kuwauzia mafuta ya wizi wanajeshi wengine jambo lililompatia pesa nyingi
- Kuonyesha kwamba anachukua kila opportunity alitumia pesa alizopewa kama zawadi na wazazi wa mke wake (2000USD) kufanya illegal business (black market) huko Moscow
- Kwa faida ya biashara zake alianzisha kampuni ya kutengeneza toys na spea za magari na biashara nyingine nyingi kuanzia biashara za mafuta, nguruwe na bodyguard recruitment
- 1992 alishikwa kwa kuibia serikali, aligushi documents na kupeleka mzigo wa mafuta uliokuwa kwenye treni kwenda sehemu ambako ilikuwa haipaswi kwenda, lakini kesi hii ilikufa kifo cha kawaida
- 1995 kwa kutumia connection za rafiki yake Boris Berezovski, ambae alikuwa close na President Yeltsin walitumia controversial program ya loans for shares (inasemekana Yeltsin alikubaliana na orgarchs (Abramavich akiwa mmoja wao) ili kumsaidia Yeltsin achaguliwe tena. Hii iliwafanya wapate control kubwa ya kampuni kubwa ya mafuta (Sibnet) kwa bei nafuu sana . Na hii program ndio iliozaa matajiri wengi wa sasa huko Russia
- Baada ya Aluminium Industry kubinafsishwa kulitokea competition kubwa sana ya kumiliki hii industry.., watu wengi waliuwawa (waandishi wa habari, wafanyakazi viwandani n.k.) mwisho wa siku mshindi alikuwa ni Roman Abramavich
- 2003 alinunua Chelsea FC
- 2000/2008 alikuwa governor wa Chukotka sehemu masikini sana lakini kwa kazi yake nzuri aliweza kupandisha wastani wa mishahara kutoka 165USD (2000) mpaka 826USD (2006)
The Man did it all by himself na kwa kipindi kifupi sana kwa kutumia advantage, zilizokuwepo, (corruption na Umafia uliopo Russia). In short jamaa sio wa kuchezea