Mimi binafsi I have tons of respect for people like Bill Gates, Sam Walton, Warren Buffet or Mark Zuckerberg...matajir ambao wameanzia from the scratch na juhudi zao za kujihusisha ktk biashara za uhalali na uwazi na at the same time wanalipa kodi, they give back billions to the society. Hawajauwa mtu wala watu, kodi wanalipa, hawajajihusisha na ufisadi wala umafia, na wanasaidia ktk elimu na afya.
Nafahamu Pesa ni pesa, Utajiri ni utajiri lakini watu kama akina Abramovich, Carlos Slim, Rostam etc wote hawa ni wezi, mafia, wameuwa watu, kodi hawajalipa na sio mfano mzuri ktk jamii. Utajiri wao umepatikana kwa njia za wizi, ufisadi, na umwagaji damu za watu