VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,365
- Thread starter
-
- #21
Huyu jamaa akiambia awe partner wangu katika uwekezaji hata kama yeye anatoa 99% na mimi 1% itabidi nijiulize mara mbiliMafia wa Kirusi pamoja na kaka yake Putin na babu yao Yeltsin
<br />okay HAPA NIMEKUELEWA mkuu, na pia hapa bongo ma-self made tunao kibao kina SHIMBO, CHENGE, LOWASSA,KARAMAGI wote hawa ni from the scratches to riches nadhani tuwape big up sana mkuu... ~Ndio Hus au sio..
<br />
<br />
ndio bright tuwape big up.
VOR unataka kusema kabla hajajitengenezea connection ya kutosha wakati anautafuta huo utajiri hakukuwa na mtu/watu nyuma yake??!
Hapana mkuu sijasema wapewe Big Up haujanielewa kabisa..., huyu jamaa na Oligarchs wengine walitumia upuuzi wa Yeltsin kujichotea mapesa na kujimilikisha keki ya taifa..., walikuwepo wengi tu, lakini baada ya Putin kuingia wengine walibanwa na kufilisiwa lakini sio huyu Roman (which brings us to ask why....?) tunagundua ni sababu ya connection zake jamaa...,
Wengi wamejaribu to go that route wameshindwa lakini jamaa ameweza na aligombana na well placed mafias na vita haikuwa ndogo... (kwahiyo mkuu hapa hakuna cha kupeana Big Up au Big Down its simply laying down the facts how did the Guy manage to acquire billions na bado anaonekana kwa watu kwamba ni mtu safi na bado hajashikwa (its needs some sort of character to achieve this..) na hapa sio kama kina Chenge et al wanaoibia watu waliolala au wanaochuma kwenye shamba la bibi..., hapana mkuu, Jamaa alitumia contacts za rafiki yake na uhusiano na Yeltsin kuchuma mapema na wengi walifanya hivyo ila jamaa alihakikisha kwamba anakuwa na connection na Putin ili wakati wenzake wanaanguka na yeye anabaki anasimama....
Yeah unaweza ukasema jamaa ni fisadi, mwizi (muuaji - hatuna ushahidi its just allegation) lakini huwezi kusema kwamba jamaa sio billionnaire au self made..., na kwa kutumia akili tofauti na kina Chege at al..., alipokuwa governor wa sehemu masikini sana huko Russia akafanya kama Robin Hood kwa kuwafanya majority ya wakazi wa hii sehemu kuwa matajiri.
Pia ukizingatia yeye ni Jew ambae baba yake kifo chake huenda kilikuwa linked na KGB huenda this is payback time...
All in all the story ya huyu mystery man is worth hearing..., and no one is saying that the man is an angel... far from it
mkuu nadhani suala hili fanya ku-compare hapo kwenye nyekundu with a critical thinking then u-contrast after that u can draw your own conclusion!!
Au tengeneza product yako mwenywe ambayo kila mtu ataitaka, lakini kwa sasa kwenye hii dunia iliojaa ufisadi ni vigumu kutoka bila kujichanganya na wewe kuwa kafisadi fulaniKwa wale ambao tuna ndoto za kuwa matajiri hasa katika nchi za Kiafrika, may be that is the way to go. Lazima uwe na connections na wanasiasa, ujue kukwepa kodi, kuwaweka wakuu wa vyombo vya usalama kama polisi kwenye ''payroll'' yako.
Kwa kifupi, usifuate sheria na uwe unajua jinsi gani ya kujinasua kwenye mitego pindi ukinasa! Otherwise, kaa ofisini, fanya kazi, subiri mshahara mwisho wa mwezi!
Mimi binafsi I have tons of respect for people like Bill Gates, Sam Walton, Warren Buffet or Mark Zuckerberg...matajir ambao wameanzia from the scratch na juhudi zao za kujihusisha ktk biashara za uhalali na uwazi na at the same time wanalipa kodi, they give back billions to the society. Hawajauwa mtu wala watu, kodi wanalipa, hawajajihusisha na ufisadi wala umafia, na wanasaidia ktk elimu na afya.
Nafahamu Pesa ni pesa, Utajiri ni utajiri lakini watu kama akina Abramovich, Carlos Slim, Rostam etc wote hawa ni wezi, mafia, wameuwa watu, kodi hawajalipa na sio mfano mzuri ktk jamii. Utajiri wao umepatikana kwa njia za wizi, ufisadi, na umwagaji damu za watu
....................My Take
The Man did it all by himself na kwa kipindi kifupi sana kwa kutumia advantage, zilizokuwepo, (corruption na Umafia uliopo Russia). In short jamaa sio wa kuchezea
Hakuna anayempamba mkuu hii ni kuonyesha ile bad history aliyotokea huyu jamaa sababu kuna watu hawajui..., ila the fact remain jamaa sio kwa kuchezea hapo hakuna kupamba wala kupunguza its just facts mkuu of a well known celebrityUmekwisha sema huyu ni mafioso chacha kwa nini maleta habari za wezi hapa na kuwapamba? Grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
Tuambie alimfanya nini Jobs?Mkuu ukiangalia vizuri hata Gates is not so much of an Angel (muulize Steve Job atakwambia..).., anyway ni kweli hawa ni majambazi na sio watu wa kuwasifia lakini unapoona wamefanya madudu na bado wanapeta inabidi ujiulize how do they do it..? and are they that bad au people wanaowalinda ndio wabaya zaidi...??
Pili hata kama unataka kuwashika wanakuwa ni wepesi wa kukimbia mitego na ni vigumu kuwashika... na maybe just maybe wangeweka hizo determination na nguvu zao kwenye biashara halali huenda wangefanikiwa pia (my point being huwezi kuwa as powerful as these people by being dumb au kwa kutumia nguvu peke yake)
Mkuu ungeweka source kuwa imetafsiliwa kutoka Wikipedia.
Mkuu ukiangalia vizuri hata Gates is not so much of an Angel (muulize Steve Job atakwambia..).., anyway ni kweli hawa ni majambazi na sio watu wa kuwasifia lakini unapoona wamefanya madudu na bado wanapeta inabidi ujiulize how do they do it..? and are they that bad au people wanaowalinda ndio wabaya zaidi...??
Pili hata kama unataka kuwashika wanakuwa ni wepesi wa kukimbia mitego na ni vigumu kuwashika... na maybe just maybe wangeweka hizo determination na nguvu zao kwenye biashara halali huenda wangefanikiwa pia (my point being huwezi kuwa as powerful as these people by being dumb au kwa kutumia nguvu peke yake)
Gates na Jobs beef yao iko kwenye competition ya technology. Kama Jobs angekuwa na hardcore evidence ya kummaliza Gates angeshafanya hivyo. Hawa jamaa hawapendani na hawatopendana hadi kifo. Lakini Gates hajauwa watu wala kukwepa kodi wala kufanya ufisadi wote. Gates ndio model ya billionaires wote wenye kufanya biashara za uwazi na uhalaliMkuu ukiangalia vizuri hata Gates is not so much of an Angel (muulize Steve Job atakwambia..).., anyway ni kweli hawa ni majambazi na sio watu wa kuwasifia lakini unapoona wamefanya madudu na bado wanapeta inabidi ujiulize how do they do it..? and are they that bad au people wanaowalinda ndio wabaya zaidi...??
Pili hata kama unataka kuwashika wanakuwa ni wepesi wa kukimbia mitego na ni vigumu kuwashika... na maybe just maybe wangeweka hizo determination na nguvu zao kwenye biashara halali huenda wangefanikiwa pia (my point being huwezi kuwa as powerful as these people by being dumb au kwa kutumia nguvu peke yake)
Gates na Jobs beef yao iko kwenye competition ya technology. Kama Jobs angekuwa na hardcore evidence ya kummaliza Gates angeshafanya hivyo. Hawa jamaa hawapendani na hawatopendana hadi kifo. Lakini Gates hajauwa watu wala kukwepa kodi wala kufanya ufisadi wote. Gates ndio model ya billionaires wote wenye kufanya biashara za uwazi na uhalali
Mkuu uhalali au ulipaji kodi I cant say sababu hakuna evidence, kuhusu kuua mtu ni kweli hakuna kashfa kama hiyo ambao ilishawahi kuwa connected na bill gates... Kuhusu beef ya Gates na Job haipo sababu ya competition tu ipo sababu ya Graphical User Interface kwenye windows.., Baada ya msaada mzuri wa IBM kununua operating system kwa Gates (ingawa software haikuwa yake ilikuwa ni ya jamaa fulani Gates alichofanya ni kununua kwa huyu jamaa na kuingia deal na IBM kwamba computer zao zote zitakuwa na Operating system yake) hii ndio iliompandisha chati gates...Gates na Jobs beef yao iko kwenye competition ya technology. Kama Jobs angekuwa na hardcore evidence ya kummaliza Gates angeshafanya hivyo. Hawa jamaa hawapendani na hawatopendana hadi kifo. Lakini Gates hajauwa watu wala kukwepa kodi wala kufanya ufisadi wote. Gates ndio model ya billionaires wote wenye kufanya biashara za uwazi na uhalali