Roman Abramovich : The Self Made Billionnaire



wanasema hakuna hata kitu kimoja
ambacho gates aligundua yeye
yeye ali commercialize invention za wenzake
 
Of course nina uhakika na ninachokisema, ata hao Wikipedia uwa wanaweka source ya walikotoa information zao au vile vijinamba vilivyoko kwenye mabano unafikiria ni vya nini?
 

Mkuu hata wangekuwa huko hawa jamaa hawaibi kama vichaa wanaiba na evidence inakuwa ni vigumu kuwashika sababu hakuna hard core evidence.., hivi ulishasikia kuhusu mtu anaeitwa Al Capone huyu jamaa alikuwa ni bonge ya mafia na aliua watu wengi lakini serikali ikashindwa kumshika kwa hizo murders na mwisho wa siku alishikwa kwa kosa dogo to la tax evasion na sio makosa yake makubwa...

Na vipi kuhusu OJ Simpson au yeye hakuwa America au unadhani labda hakumuua girlfriend wake?, mkuu hata states ukiwa na connection na pesa ni mengi tu unafanya..., an if am not mistaken kuna kashfa nyingi sana kuhusu ubadhilifu zilizokuwa zinamkumka either Bill Clinton au mdogo wake Bill (lakini hakuna kilichoendelea)

Au tafuta history ya Kennedy Familiy na baba yao Joe Kennedy
 
Again, hiyo ni beef ya tech., naongelea uhalali na uwazi wa biashara za billionaires duniani. Kama Jobs angekuwa na ushahidi wa kumburuza Gates kortini ama congress angeshafanya hivyo.
 
Uliandika
Kutoka Wikipedia
Roman Abramovich started his multi-billion-dollar business during his army service where he sold stolen gasoline to some of the commissioned officers of his unit.[SUP][5][/SUP] After a brief stint in the Soviet Army, he married his first wife, Olga. He first worked as a street-trader and then as a mechanic at a local factory.[SUP][6][/SUP] A 2,000-ruble wedding present from Olga's parents (about £1,000 or US$2,000 at that time[SUP][7][/SUP]) was invested by Abramovich in smuggling of black market goods or contraband[SUP][7][/SUP] to sell in Moscow in or around December 1987.[SUP][8][/SUP]

Abramovich soon doubled, then tripled, the investment, his confidence growing with each success in this smuggling business.[SUP][9][/SUP] Soon he progressed to making plastic toys (including plastic ducks and sailors[SUP][10][/SUP]) and started up an automobile parts cooperative. He attended the Gubkin Institute of Oil and Gas in Moscow (where he sold retreaded car tires as a sideline[SUP][11][/SUP]), then traded commodities for Runicom, a Swiss trading company.[SUP][12][/SUP]


However, in 1992, he was arrested and sent to prison[SUP][17][/SUP] in a case of theft of government property: AVEKS-Komi sent a train containing 55 cisterns of diesel fuel, worth 3.8 million roubles, from the Ukhta Oil Refinery; Abramovich met the train in Moscow and resent the shipment to the Kaliningrad military base under a fake agreement, but the fuel arrived in Riga. Abramovich co-operated with the investigation, and the case was closed after the oil production factory was compensated by the diesel's buyer, the Latvian-US company, Chikora International.[SUP][18][/SUP]


In 1995, Abramovich and Boris Berezovsky, an associate of President Boris Yeltsin, acquired the controlling interest in the large oil company Sibneft. The deal was within the controversial loans-for-shares program and each partner paid US$100 million for half of the company, below the stake's stock market value of US$150 million at the time, and rapidly turned it up into billions. The fast-rising value of the company led many observers, in hindsight, to suggest that the real cost of the company should have been in the billions of dollars.[SUP][19][/SUP] Abramovich later admitted in court that he paid huge bribes (in billions) to government officials and obtained protection from gangsters to acquire these and other assets (including aluminium assets during the aluminium wars).[SUP][20]


[/SUP]In early July 2008 it was announced that President Dmitri Medvedev had accepted Abramovich's latest request to resign as governor of Chukotka, although his various charitable activities in the region would continue. In the period 2000–2006 the average salaries in Chukotka increased from about US$165 (€117/£100) per month in 2000 to US$826 (€588/£500) per month in 2006.[SUP][18][/SUP][SUP][39][/SUP]



Roman Abramovich - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Kama kuna clear concrete evidence ya kuku-connect na any crime in the US you are done! O.J issue was circumstacial kama ilivyokuwa majuzi issue ya huyo binti wa Florida alieeepa murder ya mwanawe (K. anthony)
Bill Gates akiuwa leo na kukiwa na ushahidi wa kumtia hatiani he's gone!
 

Joe Kennedy alikuwa na kashfa ya inside trading na bootlegging wakati wa prohibition, lakini hakukuwa na direct evedence ya kum-connect na izo issues, zingekuwepo he'd have been history wala JFK asingekuwa prez.
Mdogo wake Bill Clinton, (Roger Clinton) alipatikana na hatia na alifungwa.Akaachiwa kwa msamaha wa rais baada ya 2 years.
Issues za akina Hillary na Bill Clinton kuhusu ile scandal ya land, hakukuwa na clear cut evidence ya kum-tie Hillary and Bill, ingekuwepo evidence, kusingekuwa na prez. Clinton
 
Of course nina uhakika na ninachokisema, ata hao Wikipedia uwa wanaweka source ya walikotoa information zao au vile vijinamba vilivyoko kwenye mabano unafikiria ni vya nini?

Roman Abramovich Biography

Abramovich: The Billionaire from Nowhere: Amazon.co.uk: Dominic Midgley, Chris Hutchins: Books

Billionaires Blog: BILLIONAIRE SUCCESS STORY : Roman Abramovich - Millhouse Capital


Roman Abramovich

Ukiunganisha na Story ambayo walitoa gazeti la the times UK mara baada ya Roman kununua Chelsea hii ni story ambayo muandishi wa the Times alikwenda binafsi Russia kupepeleza…

Hivi nikikwambia hii habari nimetoa kwenye sources zote hapo juu na mystery iliyokuwepo UK kwa watu kuuliza kuhusu huyu jamaa utabisha…, !!!!??? au unataka tu kujiridhisha kwamba unao uwezo wa kubisha..??

Ungefikiria kidogo kabla ya kusema ungejua kwamba information kwenye internet ipo interconnected na information ambao unaweza ukaikuta wikipedia huenda imetokea JF na sio kila habari inatoka wikipedia ( na mpaka sasa its not the most reliable source) na habari ikiwepo wikipedia sio kwamba pengine itakuwa haipo facts remains facts hata zikipatikana wikipedia au kwenye gazeti la Uhuru..

Kwahiyo mkuu think before you pledge something as a fact (which you can never prove it as a fact)
 
Imagine Bernie Mardoff (The 50 Billion $$ ponzi schemer) angekuwa anaishi Russia ama bongo, saa hizi asingekuwa anaozea jela, angekuwa anapeta tuu
 

Ndio mkuu ukitafuta pia kuhusu Abramavich utagundua kwamba hakuna clear cut evidence kwamba hata aliwahi kumuua inzi au panzi, these people are smooth operators its very hard to stick anything against them and if you try you might end up in an alley.. na mkuu kuna maneno mengi sana ya chini chini kuhusu connection za Kennedy na Mafias..., lakini as you know its hard to find evidence..

Kwahiyo mkuu hawa watu wapo everywhere under the Sun
 
Whatever your source was iwe imetoka kitabuni au mtaani kwa omba omba fanya uungwana na ku-aknowledge wahandishi walioiandika.
 
Imagine Bernie Mardoff (The 50 Billion $$ ponzi schemer) angekuwa anaishi Russia ama bongo, saa hizi asingekuwa anaozea jela, angekuwa anapeta tuu
Wewe yule jamaa angekuwa Russia na amekula pesa za watu kwa utapeli wa kipuuzi hivyo angeshakuwa Marehemu... Mkuu dont joke with Mafioso especially Russian Mafias

 
Hawa wengi wao walikuwa ni wale Askari wa KGB na vikundi vingine vya KIJASUSI vya Kirusi. Ni kama vile Zombe aliwasoma hawa na yeye akaanza kujitajirisha kwa mtindo huo (inavyosemekana maana sina ushahidi).

Hawa KGB na majasusi mengine, yalikuwa ni majitu yaliyofunzwa kuuwa bila huruma. Kuuwa binadamu ni sawa na sisi wengine kuuwa sisimizi. Miaka ya 90 Russia watu wengi sana wamekufa. Enzi hiyo, kulikuwa hakuna kununua. Kama wewe ni JAMBAZI la kutisha na unajeshi lako, basi unakwenda kwa mfano kiwanda cha TBL na kukichukua kuwa ni chako. Unampa OWNER makaratasi aweke sahihi kuwa umenunua. Akibisha, anapigwa risasi palepale. Kesho akija Jambazi mwingine kukuzidi, anakuja na wewe anakupa makaratasi uweke sahihi.

Hawa wote wanaoonekana leo wameshika uchumi wa Russia, ina maana ndiyo walikuwa TOP of the TOPS. Walishinda vita vyote na wao wakawa watawala. Vita kali sana ilitokea kwenye viwanda vya Aluminiums na kiwanda cha magari LADA. Watu walikuwa wanauwana ili kuwa wamiliki wa kiwanda. Walikofanya kununua kwa pesa kidogo sana mfano Mikhail Khodorkovsky alinunua mitambo ya kuchimba mafuta kwa bei kama sikosei Dola $80 milions, kiwanda ambacho kwa muda mfupi, kilikuwa tayari kimeshaingiza Bilions of $.

Putin kama Ex-KGB na yeye alitajirika sana na hadi sasa ana hela yake nzuri mno hapo St. Peterburg, Russia. Mwingine ni huyu aliyekuwa Boss wa KGB na mwisho kuwa PM wa Russia akiitwa Yevgeny Primakov ambaye yeye, mkewe na mwanae walifungua shirika la ndege (ukitaka kumsoma utajiri wake, angalia makala yangu ya zamani hapa JF: https://www.jamiiforums.com/interna...-matajiri-na-wanajipendelea-wao-kwanza-3.html.

Huyu Boss wa Chelsea kinamsaidia kuwa hajataka kabisa kujiingiza kwenye SIASA na wala hapingani na Putin. Alipoona mambo yanakwenda ovyo, akakimbia na kuacha tu miradi yake na hivyo kubaki Neutral sana kwenye Siasa. Pia amekuwa akijitokea sana kwenye mambo ya nchi kama kumlipa mshahara kocha wa timu ya Taifa ya Russia. Mwishoni kama sikosei, Putin sijui alifanyaje ila ule mpango wake wa kurudisha male za Taifa mikononi wa Serikali, alinunua kipande kikubwa cha Keki kwene makampuni ya huyu Roman na jamaa akakabidhiwa hela nzito na kutokomea zake.

Jamaa ana bahati sana na akili sana. Sijui ndiyo kadamu ka KIYAHUDI? Maana ukiacha jina, hata sura unaona kabisa ni JEW kwa asili.
 
Sikonge umegusia kitu kimoja muhimu sana katafute kitabu cha Gang Of Lubyanka cha Alexander Litvinenko kama hujakisoma anazungumzia jinsi jamaa kutoka kwenye Security Services (kuanzia KGB na sasa FSB) walivyo jitransform kwenye umafia.
 
Whatever your source was iwe imetoka kitabuni au mtaani kwa omba omba fanya uungwana na ku-aknowledge wahandishi walioiandika.

Mkuu sasa unaandika kama mkosa hoja this is not the fiction story, this are the facts the known facts from different sources.., au unataka nikuwekee na majina ya watu niliokuwa ninaongea nao marafiki zangu kuhusu huyu jamaa ambae amenunua Chelsea?

Wewe ndio kuwa muungwana wa kusema kwamba umechemka na hii sio tafsiri niliotoa kutoka Wikipedia bali ni katika kusoma kwangu kwa muda mrefu na kusikia stories za huyu jamaa kutoka different sources hata nyingine sikumbuki ni wapi nilisikia lakini the first person aliekwenda russia kuanza kufanya diggings alikuwa mwandishi wa The Times kutoka England na hio ndio ililelata the ball rolling na likawa gumzo kati ya watu wa kawaida mtaani..

So please mkuu next time dont jump to conclusions which yourself can not defend..., it does not make sense and now am regretting why I even bothered to answer you sababu umeshanitoa kwenye topic at hand..

Alafu ask yourself ni mwandishi gani alieandika hii habari (nikiweka hapa 10 sources of extracts itakuwa inadilute habari...) na kumbuka hapa am not writing a thesis
 
wanasema hakuna hata kitu kimoja
ambacho gates aligundua yeye
yeye ali commercialize invention za wenzake
Ni kweli kabisa mkuu yaani hata ile deal aliyofanya na IBM ni kwamba alifanya deal wakati hata hana ownership ya ile Operating System yaani hata mwenzake Peter alimshangaa anaingia kwenye contract ya kuuza kitu wakati sio chake bado..

Ni kweli kabisa yaani jamaa ni good businessman na wagunduzi wengi wanakasirika sababu alianza kupackage vitu na kuviuza wakati watu walikuwa wanatengeneza na kushare bure na marafiki zao..

Pia hata hii windows explorer inasemekana mpango wake ulikuwa ni kuiuza lakini netscape navigator iliotoka kabla baada ya kusikia jamaa wataigawa bure na yeye ndio akaamua aje na internet explorer aigawe bure
 
Tuambie alimfanya nini Jobs?

Katafute kitabu cha Paul Allen he talked about how ruthless Bill Gates was/is......

Mkuu nimeshaelezea kuhusu beef ya Jobs na Gates na hii its a well now fact in Silicone Valley and the world at large na kupata the side of the story from the Gentlemans best friend is not a reliable source na itakuwa biased
 
Again, hiyo ni beef ya tech., naongelea uhalali na uwazi wa biashara za billionaires duniani. Kama Jobs angekuwa na ushahidi wa kumburuza Gates kortini ama congress angeshafanya hivyo.

Mkuu hapa sio kwamba kuna kesi hakuna kesi ila ni kwamba jamaa alitumia advantage ambayo sio uungwana wa kumuovertake jamaa na kuchukua idea alioiona kwa Job na kuifanyia kazi tena alichofanya ni kuhakikisha mzigo unaingia sokoni kabla ya Apple Mac haijatoka na kufanya hivyo inasemekana mzigo ulitoka na Bugs za kutosha ambazo jamaa alizifix baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…