Ili atoweke?wengine hawana ushujaa wa kipumbav kuwauza cheupe na katoto kisa uzalendo wa uongo.Nimesoma nakurudia mara 3 maelezo hayo natamani aongeze nyama nyingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili atoweke?wengine hawana ushujaa wa kipumbav kuwauza cheupe na katoto kisa uzalendo wa uongo.Nimesoma nakurudia mara 3 maelezo hayo natamani aongeze nyama nyingi
embu tuwekee link hata moja ya story aliotafsiri huyu jamaa. moja tu mkuuKitabu kwa story zipi.....hizi story mbona zipo internet ila huyu jamaa anafanya kutafsiri tu...
We jamaa unanikumbusha enzi za shule, kuna mshkaji wetu alikuwa na mambo kama yako. Mwalimu akianza kufundisha somo jipya anajifanya "Hiyo naijua, nimeisoma jana mchikidown"Kitabu kwa story zipi.....hizi story mbona zipo internet ila huyu jamaa anafanya kutafsiri tu...
Oligarchy umenichekesha..unata kummalizaOligarch Anga leta episode 8 la sivyo naomba airtime ITV
Tahadhari: Tafadhali ugopa kiwa mteja wa stori za The Bold
Sio tu aliyotafsiri bro, yeye aliyesoma huko..huku anatafuta nini..watu wanashida sana.embu tuwekee link hata moja ya story aliotafsiri huyu jamaa. moja tu mkuu