Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,717
- Thread starter
- #661
Hahaha hiyo ya moto chief
........ Kuna wengine wanahisi hata rais fulani hapa Afrika Mashariki mwaka 2015 aliukwaa Urais kwa bahati mbaya bila kujua historia yake ndani ya Idara ya Ujasusi wa nchi hiyo na bila kujua kikao cha kimkakati cha April 23, 2015 kilichofanyika nje kidogo ya mji wa Morogoro kati ya maafisa waandamizi wa idara ya ujasusi wa nchi hiyo na viongozi watatu wakubwa wastaafu. Too bad siwezi kuandikia hayo..,......
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji2534][emoji115][emoji2534][emoji115][emoji2534][emoji115][emoji2534]Ungeongeza nyama na hapa kidogo mkuu.[emoji848][emoji848][emoji848]