Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,717
- Thread starter
-
- #821
Binafsi nikupongeze mkuu, simulizi zako hua zinanifanya nibrainstorm vitu vingi, siwezi hoji jinsi unavyopata access ya such 'sensitive information' maana hilo halinihusu kikubwa naomba usiwe unatoweka kiivyo kama babu wa loliondo, madini yako yanahitajika sana humu jukwaa la intelejensia sio mtu analeta simulizi za hawafu mwenye nguvu. By the way ungetuangushia link ya whatpp grupu lako ili kujiunga iwe just one click away
Karibu sana Oligarch
Oligarch Habibu B. Anga aka The Bold, heshima sana kwako, na shukrani kwa uzi huu maridhawa. Kwenye huu uzi umegusia baadhi ya watu ambao kwa sehemu nimewasoma na kujifunza kuwahusu.
Ila hapo mbeleni ukiijaliwa nafasi na uzima, ningependa kujua 'zaidi' sana kuhusu wao. Jared Kushner, Donald Trump, Valdimir Putin, John Magufuli na Reginald Mengi.
Itakuwa abramovich kasoma huu uzi na kumpiga jamaa bit asiendelee
Salute kwako Habib k Anga kwa kazi nzuri iliyotukuka , we ni mgodi unaotembea sema wajinga wanashindwa kuelewa .. NAOMBA UNITAGI SEHEMU ZINAZOFUATA MKUU
Naomba utaratibu wa kujiunga whatsap naamini hakitaharibika kitu
Mkuu, naweza kuunganishwa kwenye group lako la WhatsApp?
Nicheki Whatsapp 0718096811 (Angalizo: kuna malipo)
Najiungaje kwa grp lako
Shukran nyingi the bold nimepata kujua japo kwa uchache kuhusu abro
Salute Mkuu, naheshimu sana gharama unayopata ya muda, ubongo n.k ili nasi tupate mwanga japo kidogo.
Nina ombi mkuu, Katika ulimwengu huu wa Intelligencia, naomba utusimulie 'character' mwanamke ambaye ameacha alama katika fani hii adhimu. ASANTE
Huu uzi kwa nn haufunguki ?
mbona umecomment sasa kama haufunguki..Huu uzi kwa nn haufunguki ?
Mkuu The bold,
Hongera sana kwa uandishi wa makala zako nzuri zenye kusisimua, kuburudisha, kuelimisha na kutafakarisha,
Ushauri wangu kwako Mimi kama mdogo wako ni kwamba, "Hakuna ulazima wa wewe kuweka wazi kuwa una access ya taarifa za kiusalama za hapa Afrika mashariki, wakati huo huo unafahamika kwa majina na mawasiliano yako, ni hatari sana lakini kwa sasa unaweza usilione hilo jambo"
Endelea kutupa vitu kimya kimya wakisema unatoa google hio ni nzuri zaidi sababu inamchanganya mtu kubaini vyanzo vyako vya maarifa.
Ahsante.
Kaz nzuri olgarch
So what are u doin here.?? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu uzi haufunguki kutafuta sehemu zinginembona umecomment sasa kama haufunguki..
Tayar nimekucheki mkuu na namba inaishia 95Nicheki Whatsapp 0718096811 (Angalizo: kuna malipo)
muulize swalehe kakorokochoa wapi maana kwangu unafunguka vizuri tu..pole sana mkuu usimuachie simu swalehe tenaMkuu uzi haufunguki kutafuta sehemu zingine
muulize swalehe kakorokochoa wapi maana kwangu unafunguka vizuri tu..pole sana mkuu usimuachie simu swalehe tena