Roman Abramovich: Utajiri wa Damu, Risasi na Umafia

Roman Abramovich: Utajiri wa Damu, Risasi na Umafia

Pamoja sana Oligarch,

Ila siruhusiwi kuweka link humu. Nitafute kwa namba yangu ya simu (kuna malipo though)


Binafsi nikupongeze mkuu, simulizi zako hua zinanifanya nibrainstorm vitu vingi, siwezi hoji jinsi unavyopata access ya such 'sensitive information' maana hilo halinihusu kikubwa naomba usiwe unatoweka kiivyo kama babu wa loliondo, madini yako yanahitajika sana humu jukwaa la intelejensia sio mtu analeta simulizi za hawafu mwenye nguvu. By the way ungetuangushia link ya whatpp grupu lako ili kujiunga iwe just one click away
 
Pamoja sana chief... nashukuru kwa mapendekezo. Nitayafanyia kazi
Oligarch Habibu B. Anga aka The Bold, heshima sana kwako, na shukrani kwa uzi huu maridhawa. Kwenye huu uzi umegusia baadhi ya watu ambao kwa sehemu nimewasoma na kujifunza kuwahusu.

Ila hapo mbeleni ukiijaliwa nafasi na uzima, ningependa kujua 'zaidi' sana kuhusu wao. J
ared Kushner, Donald Trump, Valdimir Putin, John Magufuli na Reginald Mengi.
 
Bila shaka mkuu. Nimepokea pendekezo lako na nalifanyia kazi
Salute Mkuu, naheshimu sana gharama unayopata ya muda, ubongo n.k ili nasi tupate mwanga japo kidogo.

Nina ombi mkuu, Katika ulimwengu huu wa Intelligencia, naomba utusimulie 'character' mwanamke ambaye ameacha alama katika fani hii adhimu. ASANTE
 
Ni kweli kabisa mkuu... nimerejea tena kusoma hiyo sehemu nimegundua haikuwa sahihi kuandika hivyo.

Nilinogewa kuandika mpaka nikateleza.
Mkuu The bold,

Hongera sana kwa uandishi wa makala zako nzuri zenye kusisimua, kuburudisha, kuelimisha na kutafakarisha,

Ushauri wangu kwako Mimi kama mdogo wako ni kwamba, "Hakuna ulazima wa wewe kuweka wazi kuwa una access ya taarifa za kiusalama za hapa Afrika mashariki, wakati huo huo unafahamika kwa majina na mawasiliano yako, ni hatari sana lakini kwa sasa unaweza usilione hilo jambo"

Endelea kutupa vitu kimya kimya wakisema unatoa google hio ni nzuri zaidi sababu inamchanganya mtu kubaini vyanzo vyako vya maarifa.

Ahsante.
 
Back
Top Bottom