Roman Abramovich: Utajiri wa Damu, Risasi na Umafia

Ukiwa muongo , jaribu kutunza kumbukumbu.

Eti una taarifa za kiintelijensia za nchi za Afrika ya Mashariki,,,, haaaaa haaaaa teeeeh teeeeeh.

Vituko havitakaa viishe duniani,
[/QUOTE]

Acha wivu wewe
 
Ukiwa muongo , jaribu kutunza kumbukumbu.

Eti una taarifa za kiintelijensia za nchi za Afrika ya Mashariki,,,, haaaaa haaaaa teeeeh teeeeeh.

Vituko havitakaa viishe duniani,

Acha wivu wewe
[/QUOTE]

Weweee soma chapisho lote uone. Hivi unachezea kuwa na intels za nchi zote EAC? A u unadhania ni sawa na kitendo cha kuvua nguo na kuingia kuoga?
Haaaa haaaaa, acheni uvivu wa maarifa .
 
Sasa si tutajionea wenyewe kama ni kweli ana access hiyo. Vile vile kuwa na access hiyo sio ndo kujua kila kitu kinachotendeka, kwahiyo kama kuna matukio unayajua hajayasema ufahamu kwamba huwezi jua yote hayo.

Mwisho kabisa "Hiki ni kizazi kinachopenda ishara ndipo kiamini, na hakitapewa ishara yeyote isipokuwa ishara ya Yona, yule aliyekaa kwenye tumbo la samaki siku tatu."
 
Huu uzi kila nikitaka kufungua unasumbua sana sijui tatizo ni nini
 
Naomba nielekeze ilipo episode 10 ni post namba ngapi me kila nikitafuta ina zingua

Ipo hivi:
Sehemu Ya 10 Post #963

Sehemu Ya 11 Post #1007

Sehemu Ya 12 Post #1024

Hitimisho, Post #1106.
 
Hi mob
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…