Roman Abramovich: Utajiri wa Damu, Risasi na Umafia

Roman Abramovich: Utajiri wa Damu, Risasi na Umafia

Hahaha pamoja sana comrade... aluta continua
Habib ww ni nyoko, ww n nouma, ww n kiboko, kudadeki zako uwa unanifurahisha sana hakuna uzi wako uliowahi kuniangusha hongera sana dadeki zako, achana na hao wanga wanaosema ujinga na wao wakacopy watuletee kama awajaleta vi definition vyao vya kingereza hata ku translate wanashindwa[emoji23][emoji23][emoji23] Ishi miaka kibwena ndugu natarajia utakuja mzigo mzito baada ya huu
 
Pamoja sana mkuu..
Habibu kazi unayofanya ni kubwa nasema hili kutoka ndani kabisa ya moyo wangu maana nimejaribu kufatilia mwenyewe kwa mwanga uliotoa hapa hata haikuwa rahisi sawa napata maana lakini ule udambwi dambwi wa simulizi ni haupo kabisa nikaacha kwa wanaobeza ni kawaida yao kufanya hawfanyi na hawapendi wengine kufanya
 
Ukifanya ukafiri ili upate mali, ni lazima moto ukuchome.

Tutakunyofoa kabisa na genge lako la kutaka kufanya ukafiri.

Ila dadangu jinsi ulivyo na hasira na mimi utadhani nimekuzalisha alafu sitoi child support.
Daah hii obssesion uliyonayo kwangu mpaka mkewangu ameanza kuwa na wasiwasi.

Hebu nijuze PM nini kinakusibu maana enzi zangu za ujana 'nimehangaika' vya kutosha usijekuwa na mapacha wangu.

Usijisikie vibaya sister, niweke wazi..
 
Chief huyu dada yetu ana obssesion na mimi kitambo sana. Huu sio uzi wake wa kwanza. Kila akiona jina langu lazima apate kiungulia.
Ana obssesion ya hatari..
Hii ni burudani...sidhani kama ni mahali pa kuweka ugomvi. mkuu unaweza kuanzisha uzi ukaweka nondo zako na wewe tusome...
 
Pamoja sana comrade..
Asante sana bro. Unajua I dont care kama stori hii ina ukweli kwa asilimia ngapi (lazma tu kuna mahali unaongeza au kupunguza chumvi kidogo ili inoge). Lakini nimejifunza mengi sana kuhusu ulimwengu huu tunaoishi. Ya kwamba, kuwa mwanasiasa mkubwa au tajiri mkubwa lazma ujitoe mhanga kwelikweli. Kama huna "guts" kaa pembeni uwe mfuasi, mshangiliaji au mlamba viatu wa wenye hizo guts.
 
Well said brother... Kama tunatunza kumbukumbu zetu vizr watu kama wakina Poise tulikuwa nao toka shulen wao walkua wanajifanya wanajua kila kitu, hawana muda wa kujifunza toka kwa wengne kwasababu wanaamin kuwa wapo right all the time ila huwa wanafel ku prove hilo kwny academic performance na huishia kufel vbaya na kusahaulka kabsa.. The Bold keep going brother ma oligarchs wenyew walpingwa ww n nan usipingwe?
Poise in academic grounds you don't just make noise; you falsify what has been stated by giving what you assume to be correct argument by giving data. What you've written is mere words not supported by facts.

The Bold has presented names, dates and events. He has shown connectivity and the like. What have you given? Lamentation, blah, blah, blah! and other rubbish. If you really know "Wild, Wild Africa" give us names, give us dates, give us events, give us location just like The Bold does. If you cannot, you will be very stupid and I'll not argue with you anymore!
 
Chief huyu dada yetu ana obssesion na mimi kitambo sana. Huu sio uzi wake wa kwanza. Kila akiona jina langu lazima apate kiungulia.
Ana obssesion ya hatari..
Kaka achana na huyu bwege. Huyu ndio vile vi-Tiss huwa vinajitangaza mitaani kumbe Ni vitaahira tu. Kimsingi hajui anachokupinga ila anatafuta Kiki lakini kumbe Ana ji-expose alivyo mweupe kichwani. Bro I know it takes a hell of brain and resources kutuandalia hizi Makala Tena for free. Just live that stupid woman alone. Mimi Nampa mtihani aandike article yake tuipende Kama Kweli kichwani zimo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila dadangu jinsi ulivyo na hasira na mimi utadhani nimekuzalisha alafu sitoi child support.
Daah hii obssesion uliyonayo kwangu mpaka mkewangu ameanza kuwa na wasiwasi.

Hebu nijuze PM nini kinakusibu maana enzi zangu za ujana 'nimehangaika' vya kutosha usijekuwa na mapacha wangu.

Usijisikie vibaya sister, niweke wazi..
Hahahaaa broh...
 
Kaka achana na huyu bwege. Huyu ndio vile vi-Tiss huwa vinajitangaza mitaani kumbe Ni vitaahira tu. Kimsingi hajui anachokupinga ila anatafuta Kiki lakini kumbe Ana ji-expose alivyo mweupe kichwani. Bro I know it takes a hell of brain and resources kutuandalia hizi Makala Tena for free. Just live that stupid woman alone. Mimi Nampa mtihani aandike article yake tuipende Kama Kweli kichwani zimo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamfaham Poise ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom