Profesa wa Maliasili
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 632
- 1,910
Nilikuwa namkubali sana Putin kutokana na misimamo yake ila kuanzia Leo simkubali tena kumbe jamaa ni mafia kiasi hicho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The bold,sweettablet ,
Mwanzoni mwa makala hii nilijenga hoja kwamba si jambo jepesi sana kuwa bilionea. Unaweza kuwa tajiri… milionea, hakuna shida wala shaka. Lakini kutengeneza utajiri wa kufikia dola bilioni moja na zaidi ni lazima ukubali mikono yako kuchafuka ‘vumbi’ kidogo. Muulize Mo Dewji, msome Gates na alichowafanyia IBM na Steve, chunguza vifo vilivyotokea mwanzoni kwa kuanzishwa kwa Facebook na alichokifanya Mark, muulize Aliko Dangote, teta na akina Motsepe na familia ya Gupta pale Afrika Kusini.
Wote hawa hawawezi kukataa kwamba “behind every great fortune lies a great crime.” Kila utajiri una ukafiri nyuma yake.
MWISHO
H.B ANGA “THE BOLD”
To Infinity and Beyond
Nilikuandikia kuwa ukiwa muongo, au ukiwa na maarifa na taarifa kidogo,, Jifunze sana kutunza kumbukumbu.
REJEA COMMENT YANGU NO. 1022.
Uliandika kuwa mauji hayapo Ulaya, Afrika, kama ilivyokuwa huko Russia kwa ulimwengu wa sasa ila sehemu yako hii ya mwisho umeonyesha waziwazi kuwa Uingereza, watu wanauawa, na unahitimisha kwa kutaja majina na nchi ambako mambo hayo yanafanyika.
Wewe ni uchwara katika intelijensia na hauna connection yoyote na mtu wa intelijensia bali wewe ni mlamba viatu vya watu ili wakupe taarifa ila unapewa taarifa uchwara.
Eti ,, unajinadi kwamba una taarifa zote za kiintelijensia ya nchi za Afrika Mashariki.
Boy, remember ; "Always, I don't acknowledge the mess"
.brasy coco, post: 33275636, member: 83283"]
Ww roho mbaya, choyo, husda zinakusumbua, ww ni mwanga kabisa
mliowahi kusoma threads za Habibu B. hanga ipi ni nzuri sana niipitiee...
Hii ni burudani...sidhani kama ni mahali pa kuweka ugomvi. mkuu unaweza kuanzisha uzi ukaweka nondo zako na wewe tusome...The bold,sweettablet ,
Mwanzoni mwa makala hii nilijenga hoja kwamba si jambo jepesi sana kuwa bilionea. Unaweza kuwa tajiri… milionea, hakuna shida wala shaka. Lakini kutengeneza utajiri wa kufikia dola bilioni moja na zaidi ni lazima ukubali mikono yako kuchafuka ‘vumbi’ kidogo. Muulize Mo Dewji, msome Gates na alichowafanyia IBM na Steve, chunguza vifo vilivyotokea mwanzoni kwa kuanzishwa kwa Facebook na alichokifanya Mark, muulize Aliko Dangote, teta na akina Motsepe na familia ya Gupta pale Afrika Kusini.
Wote hawa hawawezi kukataa kwamba “behind every great fortune lies a great crime.” Kila utajiri una ukafiri nyuma yake.
MWISHO
H.B ANGA “THE BOLD”
To Infinity and Beyond
Nilikuandikia kuwa ukiwa muongo, au ukiwa na maarifa na taarifa kidogo,, Jifunze sana kutunza kumbukumbu.
REJEA COMMENT YANGU NO. 1022.
Uliandika kuwa mauji hayapo Ulaya, Afrika, kama ilivyokuwa huko Russia kwa ulimwengu wa sasa ila sehemu yako hii ya mwisho umeonyesha waziwazi kuwa Uingereza, watu wanauawa, na unahitimisha kwa kutaja majina na nchi ambako mambo hayo yanafanyika.
Wewe ni uchwara katika intelijensia na hauna connection yoyote na mtu wa intelijensia bali wewe ni mlamba viatu vya watu ili wakupe taarifa ila unapewa taarifa uchwara.
Eti ,, unajinadi kwamba una taarifa zote za kiintelijensia ya nchi za Afrika Mashariki.
Boy, remember ; "Always, I don't acknowledge the mess"
shukranGeranimo EKIA..operation iliyomuondoa Osama ndio best of the best
OK sawa mkuu Habibu B. Anga jiandae na wewe kupigwa polonium na abromovich
Aisee Habibu B. Anga asante sana mkuu
Nadhani utuwekee na hzo za kina gupta maana na mm najiandaa kufanya ukafiri ili nifike huko