Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,717
- Thread starter
-
- #101
Shukran sana mkuu, ngoja nilale nikiwa na tafakuri kibao..siku moja kuja kuwa Oligarch.
Mkuu The bold ukiweza naomba unipatie link ya ule uzi wa Malesian Airline MH...iliyopotea.
Mkuu naomba unitag sehem ya tatu
Utu uzima dawa. Usipote tena jukwa linakuhitaji
Utajiri wa huyo jamaa unafanana kabisa na utajiri wa rostam azizi,ni mara chache sana mtu kuwa tajiri pasopo mgongo wa serikali
Usisahau kunitag kwa mwendelezo wa hii makala mkuu[emoji38][emoji38]
Karibu sana Mkuu Habibu B. Anga a.k.a The Bold.
Tulizikosa kwa kipindi makala zako murua na zilizoshiba, hali iliyopelekea nijikite youtube kutafuta makala za kujifunzia, ndipo ghafla nikakutana na channel yako.
Naomba kutoa maoni yangu kiasi, ijapokuwa siku hizi kwa Tanzania ukitoa maoni unaitwa "Hater".
Katika channel yako ningekuomba ubadilishe msimulizi na asiwe Abdalla Ambua a.k.a Dullah Planet na umuweke msimulizi mzuri zaidi ama kama atabaki huyohuyo basi arekebishe usomaji wake na apunguze mbwembwe nyingi.
Nb: Ni maoni yangu na muono wangu tu.
Karibu tena Mkuu.
Vitabu vyako vinapatikana wapi?
mkuu the bold naomba na mm unitag
Tupia ya 3 mkubwa mana hii kitu balaa sana
Shemeji umetupia uzi bila taarifaa....
Shukrani kwa chakula hiki....
Nasubiri dinner nyingine
Sasa mbona mkuu kapotea si alisema mchana leo dah
Nasubiria muendelezo kwa hamu
mkuu Habibu B. Anga safari hii hukwenda Hijja? Inshallah mwakani uwahi. Karibu tena Jamvini
Mkuu Habibu B. Anga ulituahidi sehemu ya tatu ungeiweka leo mchana. Naisubiri kwa hamu.
Daah mkuu tumefurahi Sana kwa ujio wako huu, kulipoaa Sana
sehemu ya tatu mbna haipo
Naomba nitag
Naomba nami unitag mkuu!
Bado tunachungulia hatuioni