Roman Abramovich: Utajiri wa Damu, Risasi na Umafia

Tusubirie huo Mzigo saa 10 ila isije kuwa kama ule wa Amber ruti ulisubiriwa weeee mpaka leo ha haaa nji ina visa hii
 
Ndio ivo mkuu forex imenishinda, nimeuza ki-IST changu, kitanda changu cha 5x4, godoro, mashuka, ki-tecno changu, sabufa... yani hapa nimebakia na soksi tu hata bukta sina...

Hiyo comment imekaaje mkuu? Naamini nimekusaidia hapo kujazia nyama au vipi... Haya sasa tujadilia mada iliyoko jukwaani...
Naona umerudi mkuu baada ya forex kushindikana
 
Ndio ivo mkuu forex imenishinda, nimeuza ki-IST changu, kitanda changu cha 5x4, godoro, mashuka, ki-tecno changu, sabufa... yani hapa nimebakia na soksi tu hata bukta sina...

Hiyo comment imekaaje mkuu? Naamini nimekusaidia hapo kujazia nyama au vipi... Haya sasa tujadilia mada iliyoko jukwaani...

Majibu mujarabu kabisa
 
Vitabu tusubiri kidogo... kuna jambo lilitokea huwezi amini.
Kuna content kuhusu masuala ya hapa nchini niliiweka humo. "Wenye nchi" yao wakapiga pini wanataka niondoe hiyo content ndio niuze kitabu. Nikajaribu kutumia watu wa juu yao... bado niko napambana maana nataka kitabu kiwe cha tofauti sana kilete mapinduzi flani ya uandishi wa kichunguzi. Tumuombe Mungu... kitatoka.

Mungu mwema yote yatawezekana. Sielewi kwanini sisi hatupendi kuandika mambo yanayotuhusu, ili umma ujielimishe na kuelewa Zaidi yale yanayoendelea.
Hatuandiki vitabu. Hatusomi vitabu. Sasa tunapata wapi uelewa??
 
Ndio ivo mkuu forex imenishinda, nimeuza ki-IST changu, kitanda changu cha 5x4, godoro, mashuka, ki-tecno changu, sabufa... yani hapa nimebakia na soksi tu hata bukta sina...

Hiyo comment imekaaje mkuu? Naamini nimekusaidia hapo kujazia nyama au vipi... Haya sasa tujadilia mada iliyoko jukwaani...
OK ahsante mkuu,sikuwa serious kivile ila basi awamu hii usituache mkuu njiani kama kwenye story ya the richest man in africa
 
Back
Top Bottom