Roman Abramovich: Utajiri wa Damu, Risasi na Umafia

Tusubirie huo Mzigo saa 10 ila isije kuwa kama ule wa Amber ruti ulisubiriwa weeee mpaka leo ha haaa nji ina visa hii
 
Ndio ivo mkuu forex imenishinda, nimeuza ki-IST changu, kitanda changu cha 5x4, godoro, mashuka, ki-tecno changu, sabufa... yani hapa nimebakia na soksi tu hata bukta sina...

Hiyo comment imekaaje mkuu? Naamini nimekusaidia hapo kujazia nyama au vipi... Haya sasa tujadilia mada iliyoko jukwaani...
Naona umerudi mkuu baada ya forex kushindikana
 

Majibu mujarabu kabisa
 

Mungu mwema yote yatawezekana. Sielewi kwanini sisi hatupendi kuandika mambo yanayotuhusu, ili umma ujielimishe na kuelewa Zaidi yale yanayoendelea.
Hatuandiki vitabu. Hatusomi vitabu. Sasa tunapata wapi uelewa??
 
OK ahsante mkuu,sikuwa serious kivile ila basi awamu hii usituache mkuu njiani kama kwenye story ya the richest man in africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…