Emmaro
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 455
- 700
😬😬Ma-oligarch,
Naelewa kiu tuliyonayo... mnivumilie.
Leo saa tatu usiku nitaweka sehemy ya Sita ya makala hii.
Nashukuru sana kwa uvumilivu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😬😬Ma-oligarch,
Naelewa kiu tuliyonayo... mnivumilie.
Leo saa tatu usiku nitaweka sehemy ya Sita ya makala hii.
Nashukuru sana kwa uvumilivu.
Awe muwazi ni bei gani na inalipiwaje kuliko chenga chenga kuuza story si ajabu ttzo wabongo tunaona kama tunajishusha mpaka utafute visababu ili ionekane si dhamira yako kuuza story ila uliombwa, nonsenseNawakumbusha wale wote mnaosubir story msipende kitonga au mteremko
Mamito nisaidie linkHuyu ndio the Bold anawaonjesha mpambane na hali zenu zipo google hizi stori wengi wenu wavivu kusoma ile lughya ya pale Greenwich
Oligarchy mwenzangu iweke ucku mkali na usisahau kunitag!ROMAN ABRAMOVICH: UTAJIRI WA DAMU, RISASI NA UMAFIA
Kwenye sehemu iliyopita nilieleza kwamba afya ya mwili na akili ya Rais Boris Yeltsin haikuwa imara mwishoni mwa miaka ya 1995 mpaka mwanzoni mwa 1996. Yeltsin alikuwa kiroja kila ambapo alikuwa mbele ya umma. Ma-oligarch wakaanza kukuna vichwa kutafuta mrithi wake kabla ya bunge la Urusi kumuondoa Yeltsin kwa lazima na kumweka mtu wao. Lakini katika juhudi hizi ma-oligarch macho yao yote yalikuwa kwa Roman Abramovich.
Sasa, nianze kwa kusema hiv…
Kuna suala moja la kushangaza sana kuhusu Putin. Kama ni mfuatiliaji wa mambo utakuwa umeshuhudia kwa mara kadhaa na kwa miaka kadhaa amekuwa na migogoro karibia na kila Oligarch nchini Urusi isipokuwa Roman Abramovich pekee. Tena ajabu ni kwamba Abramovich ikitokea anashambuliwa labda na vyombo vya habari vya magharibi, Putin huwa ni moja ya watu wa kwanza kumtetea.
Kwa nini? Kwa sababu mwaka 1996 tofauti na mategemeo ya watu wote juu ya mrithi wa Boris Yeltsin, katika kikao cha ile inner circle ya Rais, Roman Abramovich alipendekeza jina la Vladmir Putin kuwa mrithi wa kiti cha Urais wa Urusi. Katika ulimwengu wa siasa za Urusi kipindi hicho Putin hakuwa lolote wala chochote na hata wananchi wengi hawakuwa wanamjua. Putin hakuwahi hata kuwa ‘balozi wa nyumba kumi’. Lakini Abramovich alimtaka Putin amrithi Yeltsin.
Kwa nini? Kuna sababu kadhaa… sababu za wazi ambazo ‘alishea’ na wenzake lakini pia kulikuwa na sababu binafsi ambazo wengine hawakuzijua. Ma-oligarch kama ambavyo ilikuwa kwa warusi wengine walikuwa wanataka kuijenga upya ‘image’ ya kiti cha rais wa Russia. Kwa kiasi fulani ‘image’ ya kiti cha urais wa Russia ilikuwa imechafuka kutokana na vimbwanga ambavyo Yeltsin alikuwa anavifanya. Ma-oligarch na warusi walikuwa wanataka Rais ambaye ataakisi ukakamavu, weledi na msimamo thabiti kuitetea Russia dhidi ya mabeberu ya magharibi. Vladmir Vladmirovich Putin alikuwa na sifa hizi zote.
Lakini kulikuwa na sifa nyingine ambayo wengine hawakuijua… sifa ambayo ni Vladmir na Abramovich pekee waliifahamu.
Nitakuwa sijatenda haki nikizungumzia historia kamili ya Vladmir katika makala hii kwa maana binadamu huyu haswa anastahili nitulie nimuandikie makala yake kabisa kumuhusu yeye mahususi na wala sio kuchomekea tu historia yake ndani ya makala yenye kuhusu jambo lingine. Na kwa hakika hata makala tu tutakuwa hatujatenda haki… twapaswa kumwandikia kitabu kabisa binadamu huyu ambaye kwa mwaka wa tano huu sasa Jarida la Forbes linamuorodhesha kama mtu mwenye ushawishi zaidi ulimwenguni akimpiku Obama kwenye miaka ya mwisho ya uongozi wake na akiendelea kumburuza hata Rais wa sasa Donald Trump na pia kuwapiku miamba mingine kama Rais Xi jiping na baba mtakatifu Papa Francis. Yako mengi sana ya kuyaandika kuhusu kiongozi huyu mahiri, viko visa vingi vya kusisimua ambavyo bado wengi hawavifahamu. Yako mengi ya kujifunza na iko mikasa mingi ya kuburudisha kuhusu maisha yake.
Lakini ili niweke msingi mzuri wa hoja ya kile ambacho nakusudia kukisema kuhusu yeye na Abramovich, nitachomekea kijipande kiduchu tu walau cha historia yake.
Mwaka 1975 miezi michache baada ya kumaliza elimu ya chuo kikuu Putin alijiunga na shirika la kijasusi la KGB. Mwanzoni alipojiunga na KGB alifanyakazi ndani ya Second Chief Directorate lakini baadae kidogo akahamishiwa First Chief Directorate ambayo hasa ilihusika ushushushu pamoja na ujasusi nje ya Urusi. Jukumu lake la kwanza baada ya kuhamishiwa kwenye idara hii ilikuwa ni kufatilia nyendo za raia wa kigeni na maafisa balozi mbalimbali ambazo zilikuwa katika mji wa Leningrad ambako ndiko alizaliwa, kukulia na kusoma. Baadae kidogo alihamishwa na kupelekwa Ujerumani ya Mashariki enzi zile kabla ya taifa la ujeremani kuungana. Akiwa huko alifanya kazi yake ya ushushushu kwa kutumia ‘cover’ ya mtafasiri mbobezi wa lugha ya kirusi kutoka kingereza na kijerumani ambapo huduma hii alikuwa anaitoa kwa wafanyabiashara na watumishi wa serikali. Hapa ufahamu kwamba Putin anaongea lugha ya kijerumani kwa ufahasa wa hali ya juu. Kazi yake kule ujerumani ilikuwa nzito kidogo… kwanza alikuwa akikusanya taarifa juu ya serikalli lakini pia alikuwa anafanya kukusanya intelijensia za ‘open source’. Intelijensia ya open source ni ile inayopatikana kutoka kwenye vyanzo vya habari ambavyo umma una ‘access’ navyo kwa mfano magazeti, internet, televisheni, redio na kadhalika. Ukusanyaji wa intelijensia ya namna hii inaweza kuonekana kama rahisi kulinganisha na intelijensia inayokusanywa ‘covertly’. Lakini kwa maoni yangu binafsi hii ni moja kazi nzito zaidi katika ukusanyaji wa intelijensia. Hebu vuta picha kwa mfano wewe ni afisa usalama hapa nchini na kazi yako ni kukusanya intelijensia ya open source. Maana yake ni kwamba muda wote usiku na mchana unatakiwa ku-monitor habari ambazo kwenye televisheni zote nchini, radio zote muhimu, usome magazeti yote ya kila siku, ufuatilie kila habari inayo-trend jamii forums, facebook, instagram na twitter. Sasa hapa ugumu sio kufuatilia tu habari bali unapaswa kuchambu ‘pumba na mchele’. Ni lazima u-prioritize habari gani inaweza kuwa na value kwa idara na habari gani ya kuipuuza na kuachana nayo. Habari hizi ambazo zinaonekana kuwa na value kuna mfumo maalumu ambao Analysts wanaziingiza kwenye database ya idara ambapo siku yoyote inaweza kuhitajika kama ikionekana inakuwa complemented na intelijensia fulani ambayo imekusanywa covertly.
Hii ndio ilikuwa kazi ya Putin kule Ujerumani Mshariki.
Baada ya ukuta wa Berlin kudondoka Putin pamoja na maafisa wengine iliwabidi kukimbia Ujerumani na kuchoma moto nyumba ambayo walikuwa wanakaa ili kupoteza ushahidi wa mafaili ya ujasusi na intelijensia waliyokuwa wanakusanya. Kuna visa vya kusisimua sana vilitokea wakati huu ambao siku nikipata fursa ya kuandika kuhusu Putin nitavieleza.
Baada ya kuondoka Ujerumani, Putin alirejea Russia kwenye mji aliozaliwa wa Leningrad ambapo KGB walimpangia jukumu jipya katika chuo kikuu cha Leningrad kitengo cha masuala ya nchi za nje. Jukumu lake hasa hapo chuo kikuu lilikuwa ni kutathimini wanafunzi ambao wana ‘potential’ ya kujiunga na KGB. Ni katika kipindi hiki ambacho Vladmiri Putin alipanda cheo ndani ya KGB kufikia kuwa Kanali.
Nilieleza pale juu kwamba Putin alisoma pia kwenye chuo hiki. Kipindi hicho alichosomaga alijenga urafiki mkubwa na mwalimu wake aliyeitwa Profesa Anatoly Sobchak. Kwa hiyo Putin aliporejea tena chuoni hapa japo safari hii kwa kazi maalumu alifufua upya urafiki wake na Profesa Sobchak. Kwa maoni yangu pasipo urafiki huu kamwe Putin asingekuja kuwa rais wa Russia. Nikirejea baadae kidogo nitaeleza ni kwa namna gani urafiki wake na Profesa Sobchak ulimfungulia njia za siasa ndani ya Moscow na hatimaye kuwa noticed na Abramovich na kwa sababu gani hasa zilimvutia Abramovich…
Mwaonaje ma-oligarch niweke sehemu yasaba usiku mnene au niweke asubuhi na mapema?
Habib - 0718 096 811
To Infinity and Beyond
Nina machale balaa hata bila kutagiwa niko ontimeNifah Divine... glory to yhwh BansenBurner Alisen Papushikashi Magazine Fire miss chagga SANCTUS ANACLETUS mngony Excel Mussolin5 Jimena Inferiority Complex gwijimimi wambura marwa Hoshea shareef conscious wambeke The Boss Deejay nasmile gkileo Juma chief Mangi flani hivi Ngongo makaveli10 KENZY kadada wa pili Root aretasludovick jonnie_vincy Clkey KAFA.cOm mbewe makedonia Afande Nyati peterchoka Leonard Robert Nchi Kavu STUNTER Chrizo jully Van persie Khalidoun Tetramelyz punje haradari Mazigazi @Alybaba babu na mjukuu platozoom jimmyfoxxgongo Nicodemas Tambo Mwikozi Ls man Heaven Sent sifongo Infantry Soldier haa mym 20acres MTS MarkHilary compos Tembo2 Erick the future nancy1983 Bulah binsaad Fazzaly the wolf everhurt Melvine Mgibeon kijana wa leo samsun Coolant Jagood pacesetter apologize payton George Betram kisengeli Kiranga Jiwe Linaloishi Madame B jay john Guasa Amboni Dinazarde Analyse Diva Beyonce snowhite Mmanu Expected Value onechromosome Missy rose Innocenthezron Immortal_MH Ficus sunola Robot la Matope mamaafacebook II JEKI likikima Compact scorpio me G'taxi YNWA adna yuzo ntamaholo Otorong'ong'o naan ngik-kundie kandukamo1 AFRICA101 mwalidebe Kobe Blaki Womani kalendi savius The Great Emanuel r2ga Ntaluke.N. Transcend Msemachochote Mchumiajuone mwampepec MTOTO WA KUKU Fukara proto cute kawombe zinginary MLALUKO JR Vupu barafu BlackPanther Ntuzu Matola impongo ntamaholo Mkoroshokigoli Deadbody KING easy mahoza Msolo kkenzki deborah1 KIDUDU buffalo44 winlicious riziki Allys MUHUNZI Moses2015 nacktary Liuumi dochivele Renzo @barbers hmjamii mbere TATIANA famicho LUCKDUBE mwanadome Straton memphis ghazar Graph Theory Honey Faith Shunie Slave ddcmanesto zinginary pacesetter Nkanaga KOMUGISHA mikatabafeki johnsonmgaya lee empire wigo MJINI CHAI Asprin mtzmweusi Erasto kalinga Chrizo kichakaa man LULU bike FORTALEZA poleni shibumi ZE DONE umande Edger Sr sir joshua sammoo Roram Password Bavaria hambiliki mwanangu Asili100 Evarist Massawe nice1 Jumong S Rogie 1babake nasreen uberito baest dustless Kilemachocho Tumosa mtembea kwa miguu Debbs Joe scorpnose musacha shibumi seeker of knowledge Simuchi Veni Vidi Vici TUJITEGEMEE abuu garcia Hon Nkundwe Festo Festo marion09 mike2k The dream bro kay vandelintz kirikou1 POINT LOAD lusaka city Dirham Rodcones bato MANCNOO multiphill90 GEORGE Dalali mwanamalundi90 MwaFreeca Roram Ta-kibombo troublemaker mambo KOMUGISHA calabocatz Papaa Azonto Msemachochote Mdomo bakuli tizo1 option dikembe iL Buono fakalava ABDUL KAREEM @Gobe Justine Marack Goodluck Mchika MR UNINFORMED darcity nkasoukumu nG'aMBu thatonegAl kabanga MPARE KIBOGOYO Edward Sambai Rassa mnonje srinavas last king of uscoch proto cute Kennedy krava Rais2020 kbosho Mzee wa BsN sam2000 fuma 999 Bableee dawa yenu The Certified DON SINYORI mij addenbwii ONTARIO Kobe The Vein Mondray jaxonjaxon successor mzee wa liver sawariya Sitaki ukuda Domhome Mpatanishi MKANDAHARI mtugani wa wapi huyo wealthier cluecell Toyota escudo mgumu2 troublemaker Linamo shedede kamtu33 SteveMollel ngushi Donald stewart Mshuza2 Glycel mnonje Ochuanilove SingleFather Santi DEOD 360 ngushi anatory antony ukhuty chris van chicha auxillius Goma Son Hubeb pes KING DUBU VILLAIN mwayena donbeny Aleppo JipuKubwa shoo61 BOMBAY John mungo Nyakageni bato Dogo 1 sufra chamlungu painscott wegman Bravo Engliash MOSELBAY wa stendi FaizaFoxy bigmind cadabraa Internal Kelvin mwalukas mnonje Kelvin X Somoche Wgr30 Miiku Poise Jabman kalamuyamwalimu BOMBAY the say juxhb witnessj Gide MK Mmanyema mgogoone Mnongane Mandingo koncho77 afsa ngaboru Paradoxer Heavy Metal KIMBURU 06 Raaj kichekoh ngumba njeche kikale DullahTza Goodluck Mshana julius Darcy Denis Kasekenya mashonga kitalembwa Khaleed Shaban middle east SirChief jiwe jeusi Mkambarani mansakankanmusa gambada ynwa ney kush mossad 03 white wizard xtaper Mzigua90 Ollachuga Oc Gidbang Mateja M.G Yango jipu abaa4all DIBAJI Agenda1 Grahnman The MaskmaN Slim5 Xubzero agprogrammer JoJiPoJi Architectus blance86 Mamtolo monde arabe Ngao Ya Imani stardust JK naiman64 Dharra seledunga ABB SHAMMA Richard Waziri wa Kaskazini Mwinjuma1 Kanungila Karim baracuda Mwamba028 besaro Pyepyepye Bilionea Asigwa ibn Kiti Chema Tugas Royal Warrior mederii mmangO manzi james LIKUD adrenaline Royal Son Mhadzabe salaniatz Natasha Ismail jiwe jeusi chibalangunamchezo
John Mloy conjuget Van Pauser great G Mtoto wa nzi Zeus1 hindustan Sci-Fi MAN OF PEACE kashata emnly danny baraka bb MTOTELA kbosho TEMLO DA VINCA
Ha haha utamu umeanza unakatila ghafla the bold we ni mafia sio kwa kudolisiana hukuROMAN ABRAMOVICH: UTAJIRI WA DAMU, RISASI NA UMAFIA
Kwenye sehemu iliyopita nilieleza kwamba afya ya mwili na akili ya Rais Boris Yeltsin haikuwa imara mwishoni mwa miaka ya 1995 mpaka mwanzoni mwa 1996. Yeltsin alikuwa kiroja kila ambapo alikuwa mbele ya umma. Ma-oligarch wakaanza kukuna vichwa kutafuta mrithi wake kabla ya bunge la Urusi kumuondoa Yeltsin kwa lazima na kumweka mtu wao. Lakini katika juhudi hizi ma-oligarch macho yao yote yalikuwa kwa Roman Abramovich.
Sasa, nianze kwa kusema hiv…
Kuna suala moja la kushangaza sana kuhusu Putin. Kama ni mfuatiliaji wa mambo utakuwa umeshuhudia kwa mara kadhaa na kwa miaka kadhaa amekuwa na migogoro karibia na kila Oligarch nchini Urusi isipokuwa Roman Abramovich pekee. Tena ajabu ni kwamba Abramovich ikitokea anashambuliwa labda na vyombo vya habari vya magharibi, Putin huwa ni moja ya watu wa kwanza kumtetea.
Kwa nini? Kwa sababu mwaka 1996 tofauti na mategemeo ya watu wote juu ya mrithi wa Boris Yeltsin, katika kikao cha ile inner circle ya Rais, Roman Abramovich alipendekeza jina la Vladmir Putin kuwa mrithi wa kiti cha Urais wa Urusi. Katika ulimwengu wa siasa za Urusi kipindi hicho Putin hakuwa lolote wala chochote na hata wananchi wengi hawakuwa wanamjua. Putin hakuwahi hata kuwa ‘balozi wa nyumba kumi’. Lakini Abramovich alimtaka Putin amrithi Yeltsin.
Kwa nini? Kuna sababu kadhaa… sababu za wazi ambazo ‘alishea’ na wenzake lakini pia kulikuwa na sababu binafsi ambazo wengine hawakuzijua. Ma-oligarch kama ambavyo ilikuwa kwa warusi wengine walikuwa wanataka kuijenga upya ‘image’ ya kiti cha rais wa Russia. Kwa kiasi fulani ‘image’ ya kiti cha urais wa Russia ilikuwa imechafuka kutokana na vimbwanga ambavyo Yeltsin alikuwa anavifanya. Ma-oligarch na warusi walikuwa wanataka Rais ambaye ataakisi ukakamavu, weledi na msimamo thabiti kuitetea Russia dhidi ya mabeberu ya magharibi. Vladmir Vladmirovich Putin alikuwa na sifa hizi zote.
Lakini kulikuwa na sifa nyingine ambayo wengine hawakuijua… sifa ambayo ni Vladmir na Abramovich pekee waliifahamu.
Nitakuwa sijatenda haki nikizungumzia historia kamili ya Vladmir katika makala hii kwa maana binadamu huyu haswa anastahili nitulie nimuandikie makala yake kabisa kumuhusu yeye mahususi na wala sio kuchomekea tu historia yake ndani ya makala yenye kuhusu jambo lingine. Na kwa hakika hata makala tu tutakuwa hatujatenda haki… twapaswa kumwandikia kitabu kabisa binadamu huyu ambaye kwa mwaka wa tano huu sasa Jarida la Forbes linamuorodhesha kama mtu mwenye ushawishi zaidi ulimwenguni akimpiku Obama kwenye miaka ya mwisho ya uongozi wake na akiendelea kumburuza hata Rais wa sasa Donald Trump na pia kuwapiku miamba mingine kama Rais Xi jiping na baba mtakatifu Papa Francis. Yako mengi sana ya kuyaandika kuhusu kiongozi huyu mahiri, viko visa vingi vya kusisimua ambavyo bado wengi hawavifahamu. Yako mengi ya kujifunza na iko mikasa mingi ya kuburudisha kuhusu maisha yake.
Lakini ili niweke msingi mzuri wa hoja ya kile ambacho nakusudia kukisema kuhusu yeye na Abramovich, nitachomekea kijipande kiduchu tu walau cha historia yake.
Mwaka 1975 miezi michache baada ya kumaliza elimu ya chuo kikuu Putin alijiunga na shirika la kijasusi la KGB. Mwanzoni alipojiunga na KGB alifanyakazi ndani ya Second Chief Directorate lakini baadae kidogo akahamishiwa First Chief Directorate ambayo hasa ilihusika ushushushu pamoja na ujasusi nje ya Urusi. Jukumu lake la kwanza baada ya kuhamishiwa kwenye idara hii ilikuwa ni kufatilia nyendo za raia wa kigeni na maafisa balozi mbalimbali ambazo zilikuwa katika mji wa Leningrad ambako ndiko alizaliwa, kukulia na kusoma. Baadae kidogo alihamishwa na kupelekwa Ujerumani ya Mashariki enzi zile kabla ya taifa la ujeremani kuungana. Akiwa huko alifanya kazi yake ya ushushushu kwa kutumia ‘cover’ ya mtafasiri mbobezi wa lugha ya kirusi kutoka kingereza na kijerumani ambapo huduma hii alikuwa anaitoa kwa wafanyabiashara na watumishi wa serikali. Hapa ufahamu kwamba Putin anaongea lugha ya kijerumani kwa ufahasa wa hali ya juu. Kazi yake kule ujerumani ilikuwa nzito kidogo… kwanza alikuwa akikusanya taarifa juu ya serikalli lakini pia alikuwa anafanya kukusanya intelijensia za ‘open source’. Intelijensia ya open source ni ile inayopatikana kutoka kwenye vyanzo vya habari ambavyo umma una ‘access’ navyo kwa mfano magazeti, internet, televisheni, redio na kadhalika. Ukusanyaji wa intelijensia ya namna hii inaweza kuonekana kama rahisi kulinganisha na intelijensia inayokusanywa ‘covertly’. Lakini kwa maoni yangu binafsi hii ni moja kazi nzito zaidi katika ukusanyaji wa intelijensia. Hebu vuta picha kwa mfano wewe ni afisa usalama hapa nchini na kazi yako ni kukusanya intelijensia ya open source. Maana yake ni kwamba muda wote usiku na mchana unatakiwa ku-monitor habari ambazo kwenye televisheni zote nchini, radio zote muhimu, usome magazeti yote ya kila siku, ufuatilie kila habari inayo-trend jamii forums, facebook, instagram na twitter. Sasa hapa ugumu sio kufuatilia tu habari bali unapaswa kuchambu ‘pumba na mchele’. Ni lazima u-prioritize habari gani inaweza kuwa na value kwa idara na habari gani ya kuipuuza na kuachana nayo. Habari hizi ambazo zinaonekana kuwa na value kuna mfumo maalumu ambao Analysts wanaziingiza kwenye database ya idara ambapo siku yoyote inaweza kuhitajika kama ikionekana inakuwa complemented na intelijensia fulani ambayo imekusanywa covertly.
Hii ndio ilikuwa kazi ya Putin kule Ujerumani Mshariki.
Baada ya ukuta wa Berlin kudondoka Putin pamoja na maafisa wengine iliwabidi kukimbia Ujerumani na kuchoma moto nyumba ambayo walikuwa wanakaa ili kupoteza ushahidi wa mafaili ya ujasusi na intelijensia waliyokuwa wanakusanya. Kuna visa vya kusisimua sana vilitokea wakati huu ambao siku nikipata fursa ya kuandika kuhusu Putin nitavieleza.
Baada ya kuondoka Ujerumani, Putin alirejea Russia kwenye mji aliozaliwa wa Leningrad ambapo KGB walimpangia jukumu jipya katika chuo kikuu cha Leningrad kitengo cha masuala ya nchi za nje. Jukumu lake hasa hapo chuo kikuu lilikuwa ni kutathimini wanafunzi ambao wana ‘potential’ ya kujiunga na KGB. Ni katika kipindi hiki ambacho Vladmiri Putin alipanda cheo ndani ya KGB kufikia kuwa Kanali.
Nilieleza pale juu kwamba Putin alisoma pia kwenye chuo hiki. Kipindi hicho alichosomaga alijenga urafiki mkubwa na mwalimu wake aliyeitwa Profesa Anatoly Sobchak. Kwa hiyo Putin aliporejea tena chuoni hapa japo safari hii kwa kazi maalumu alifufua upya urafiki wake na Profesa Sobchak. Kwa maoni yangu pasipo urafiki huu kamwe Putin asingekuja kuwa rais wa Russia. Nikirejea baadae kidogo nitaeleza ni kwa namna gani urafiki wake na Profesa Sobchak ulimfungulia njia za siasa ndani ya Moscow na hatimaye kuwa noticed na Abramovich na kwa sababu gani hasa zilimvutia Abramovich…
Mwaonaje ma-oligarch niweke sehemu yasaba usiku mnene au niweke asubuhi na mapema?
Habib - 0718 096 811
To Infinity and Beyond
Heshima kwako mkuu za kipekee....!!!
Shukrani
Hii story ninahamu nayo ila haifunguki
Jana Oligarcha kachezea kipigo cha mbwa koko
Asante kwa uzi, kunitag ndio ulishakataa kabisa?
Nitag mkuu ktk episodes zinazofwata