Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oligarch anajishushia sanaNext time kama huna story inayoisha, basi usiianzishe... Sio mara ya kwanza kufanya hivi. Unajishushia heshima
Kuna Jamaa alituonya kua hii story kwenye group lake la whatsapp aliianzisha then akapotea ....kwa kifupi hana maana maana sio first timeOligarch anajishushia sana
Pamoja na kwamba wapo baadhi ya wachangiaji wanaokatisha tamaa katika replies zao, lakini huku pia ni kujishushia heshima kuanzisha simulizi then unapotea mazima, si uungwana hata kidogo labda kama unafanya makusudi ili watu waifuate hiyo namba unayoiweka mwishoni kwa simulizi na yenyewe kiutuuzima si sahihi.
Kweli hii ilihitimisha series...!!! Wasomaji hatukuwa makini, tusamehewe.Kuingia kwa Abramovich kwenye sekta hii kutakuja kuibua moja ya nyakati za hatari zaidi kuwahi kushuhudiwa nchini Russia na Ulaya mashsriki yote kiasi kwamba mpaka leo hii kipindi hicho kinajulikana kama nyakati za ‘Vita za Aluminum’.
Tutajadili…
Kuhusu ishu ya Vitabu...
Noana kuna jambo nasisitizwa sana, VITABU.
Niliwahi kutangaza kutoa kitabu lakini sijawapa tena update yeyote.
Nyie acheni zenu, Mtu kaweka chapter kuanzia ya kwanza mpaka ya nane, mnataka aendeleee, sasa mnataka aendelee mpaka wapi, au mpaka Putin afe, Abramovich afe halafu amalizie URUSI IKAISHI RAHA MUSTAREHE hapo ndo mtaridhika kuwa kaeleza yote mnayoyataka?
Hata Movie huwa ni lisaa moja na nusu mpaka mawili, Hii Stori ukichukua chapter zote nane ukaziandikia Script ni movie kamili ya masaa mawili sasa mnataka series zisizoisha kama za Kihindi?
Story maana yake unachagua portion ya event katika maisha ya watu unaielezea, Sasa msiwe addicted kama watoto wadogo wanaotaka Real events ziwe kama fiction.
Hapa alipoifikisha inatosha maana kaeleza kila kitu namna Abaromich alivyopata uatajiri na kuwa King Maker, kamuingiza Putin madarakani basi sasa mnataka nini tena, mnataka aeleze alivyoinunua Chelsea?.
Acheni zenu
utachakaa sana Huyu ndio The Bold hii stori ataleta baada ya mwezi akiwa anatoa toa zote tunawajua wabongo mtamchoka mapema sana halafu mtakuja kumwona mpuuzi bora aendelee hivi hivi maana wabongo mkishajua kitu mnaleta dharau sasa The bold anawakomesha taratibu mpaka mkae sawa anajua kucheza na Mindset zenyu vizuri sana TUKOMESHE BABAPamoja na kwamba wapo baadhi ya wachangiaji wanaokatisha tamaa katika replies zao, lakini huku pia ni kujishushia heshima kuanzisha simulizi then unapotea mazima, si uungwana hata kidogo labda kama unafanya makusudi ili watu waifuate hiyo namba unayoiweka mwishoni kwa simulizi na yenyewe kiutuuzima si sahihi.
Okay, tatizo hakuna sehemu imeonyesha kwamba Mr. A alitumia Risasi au kumwaga damu ili kufikia ukwasi aliokuwa nao kama kichwa cha habari kilivyelenga kuelezea.Nyie acheni zenu, Mtu kaweka chapter kuanzia ya kwanza mpaka ya nane, mnataka aendeleee, sasa mnataka aendelee mpaka wapi, au mpaka Putin afe, Abramovich afe halafu amalizie URUSI IKAISHI RAHA MUSTAREHE hapo ndo mtaridhika kuwa kaeleza yote mnayoyataka?
Hata Movie huwa ni lisaa moja na nusu mpaka mawili, Hii Stori ukichukua chapter zote nane ukaziandikia Script ni movie kamili ya masaa mawili sasa mnataka series zisizoisha kama za Kihindi?
Story maana yake unachagua portion ya event katika maisha ya watu unaielezea, Sasa msiwe addicted kama watoto wadogo wanaotaka Real events ziwe kama fiction.
Hapa alipoifikisha inatosha maana kaeleza kila kitu namna Abaromich alivyopata uatajiri na kuwa King Maker, kamuingiza Putin madarakani basi sasa mnataka nini tena, mnataka aeleze alivyoinunua Chelsea?.
Acheni zenu
Mimi Binafsi nimemshangaa bwana Hanga kuanza kuelezea namna alivyo na access na sources of intelligence hapa east africa.Baadaye uanze kuuza kitabu. Buni wazo jingine mkuu. Hii idea imeshaandikiwa kitabu.
Mbona kuna mawazo kibao unaweza toka nayo kimaisha.
Ujasusi unayajua mengi hapa EAC mbona ndege imekamatwa hukutoa taarifa hapa jukwaani before.
Ulikuwa mwanafunzi wa NASa, KGB ama M16 na MOSSAD mkuu.pia wenye kujua huwa wanaonyesha vitendo. Umeshawahi muona AZAM inakaa kijiweni anasoma kuwa ana Hela Bali wenye wasio na kitu ndo tunatumia uwezo wa Maneno kuaminisha umma kuwa tuna Hela.
link unadhani inatolewa bure acha kupenda mteremko 😀😀😀😀Binafsi nikupongeze mkuu, simulizi zako hua zinanifanya nibrainstorm vitu vingi, siwezi hoji jinsi unavyopata access ya such 'sensitive information' maana hilo halinihusu kikubwa naomba usiwe unatoweka kiivyo kama babu wa loliondo, madini yako yanahitajika sana humu jukwaa la intelejensia sio mtu analeta simulizi za hawafu mwenye nguvu. By the way ungetuangushia link ya whatpp grupu lako ili kujiunga iwe just one click away