Alafu kuna walakini kwenye baadhi ya maelezo, kwa mfano kuhusu ununuzi wa Sibneft, sio kweli kwamba Berezovsky alitoa pesa zooote bila Abrahimovic kuweka chochote achilia mbali kwamba serikali ya russia iliweka utaratibu wa kuwakopesha wanunuzi wa makampuni yake.
Sio sahihi sana kuelezea kwamba hata kama hakupewa madaraka ya kisiasa na Boris, Bado Abrahimovic alikuwa na interest za kisiasa na amewahi kuwa Governor wa jimbo moja nchini humo mwanzoni mwa miaka ya 2000.
sasa kuacha hii kunaweza sababisha watu kudhani unaweza kuwa bilionea huku umejiweka mbali na siasa,wakati mwingine unahitaji locus ya kisiasa ili ujisafishe