Roman empire ilivyoacha matokeo ya maisha yetu ya sasa

Bess

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2016
Posts
547
Reaction score
656
Karne ya 1= kanisa la mitume, ikielezewa sana na kitabu cha Matendo ya mitume. Huku warumi wakitawala

Karne ya 2-3= kanisa la mateso, himaya ya Roma ikilitesa kanisa

Karne ya 4= mfalme wa Roma anakuwa Mkristo, Romans hawakukubali kupoteza kila kitu, wanaingiza ibada zao pia kama mishumaa, na taratibu nyingine sizo za kiyahudi kanisani. Taratibu hiz zinakuwa sehem ya ibada.

Tukumbuke hapa ndipo Roman empire ilidhoofika, ikitaka kuutumia Ukristo kutawala dunia haikuweza

Karne ya 15= tifutifu linaanza, baadhi ya ma-pdri wana-question.kwa nini umuhimu wa sheria za kanisa ni sawa na umuhimu wa scriptures in the bible
Ndipo hapa wakauliza sala ya wafu inatoka wapi? (Not biblical). Wazee wa Roma wakaamua ku'include vitabu ambavyo havikuwa sehemu ya biblia ambavyo vinavyo tetea sala ya wafu. Kumbuka scriptures zilizosomwa ibada ya kumuaga rais Magu.

Ukweli wa vitabu vipi ni sahihi unathibitishwa na Protestants wanaotumia agano la kale lenye vitabu
sawa na Israelites wa leo.

Karne ya 19= Mjini Texas kukatokea vuguvugu, chuo kimoja cha biblia walipo amua kufanyia kazi kitabu cha matendo ya mitume, hasa matendo ya kanisa la kwanza. Wakashangaa nguvu ya Mungu inadhihirika kwenye ibada zao. Watu wanapona, wanafunguliwa, wanabadilishwa tabia na kuwa wema(utu wa ndani unabadilika), pepo zinatoka, vichaa waliopagawa pepo wanapona.

Kuokoka ikiwa ni neno baya, basi mwenye moyo wa kuamini ajaribu tu kufanya yaliyofanywa na mitume wa kanisa la kwanza. Na hakika atakuwa na maisha yanayoitwa kwa lugha ya mtaani 'mlokole'.

Kama unaona aibu kukiri mbele za watu kuanza kuishi maisha ya kanisa la kwanza, muombe Mungu akupe sala ya ukiri, ukiri mbele zake. Na baadaye utapata ujasiri kukiri mbele za watu
 
Kanisa la ukweli lilidhoofishwa ndani ya hizo karne 3 za kwanza na baada ya hapo mabaki ya wanaoendeleza kanisa la ukweli wamepigwa vita na wanapigwa vita hadi sasa na wale walioteka kanisa karne ya 4.

Kwangu, InI, kanisa ni wewe na Mungu Jah moyoni na nyumbani mwako - ukienda kanisani unakutana na padre tapeli ama padre kipofu. Wamefundishwa upadre na wanaotetea ukristo feki na wana tabia za walimu - utajiri na kutaka kunyenyekewa kama balozi kutoka mbinguni
 
Yes ndugu
 
Wewe unayeleta hizi mada babu yako alikua anaabudu mizimu, leo wewe unajifanya expert wa dini kuliko wazungu
 
Mzee, Unatumia 'kubuni' kama njia ya kukusanya data
 
Back
Top Bottom