Roman Reigns and Dean Ambrose special thread

So kwa akili zako Finyu Reign ndo anaeogopeka pale wwe
 
So kwa akili zako Finyu Reign ndo anaeogopeka pale wwe
Naomba urekebishe kauli, me huwa sijadili mijadala yenye matusi!

Kwa busara nakuacha kabisa nisijekuwa natukanana na mwanangu mitandaoni!

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Sema alimtoa kwenye royal rumble then akapangwa nae wrestlemania ndipo roman akashinda na dead man kustaafu.. He is the guy or big dog
NiniNo I uni MBL .sn y.mn.atak
N.nani.Mk n
MeV miim

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Actually roman is among the best wrestlers.. He is the fighting champion.. Ushindi wake Hakuna cheating yyt... Akiamua game kushinda anashinda.. Kwenye wwe saiv ambaye anamsumbua roman sn lbd Brock lesnar, Samoa joe ,Braun strowman

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Unaposema rekebisha kauli na ww naomba urekebishe hyo hapo. Maana Interpretation ya hayo maneno nikama umeniambia am not Ok.
 
Hebu itafasiri kwa kiswahili hio tuone tusi lilopo halafu niondoe!

Kwanza nimekuita pal pamoja na kuwa hatufahamiani, hiyo ni staha tosha!

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
lesnar m
ni kama kichaa fulani hivi....
watu wanaja ali kuona kama atapigwa viti au la

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 
mimi brock sitakaa nimpende never[emoji22]

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 
Uneongea Fact hao uliowataja ni kweli kabisa bila ushabiki

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 
Mimi huyo sio chaguo langu la kwanza, sema siku wamekutana na Joe nililaszimika kumpenda maana Joe aliniudhi

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
ndio adui wa adui yako sometimes ni rafiki
 
Hii mechi ilikuwa kali balaa , haitakaa isahaulike, ichek hapa chini

Hii mechi ilikuwa kali balaa , haitakaa isahaulike, ichek hapa chini

Hili jamaa nalo baada ya kuachana na yule mchawi limepata akili

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
etv africa ya sauz ipo kwenye king'amuzi cha azam channel [HASHTAG]#205[/HASHTAG] kwa malipo ya tsh 23,000 wanaonyesha jumapili sa nane mchana na sa 12 kamili jioni..hawa wapo current kidogo sometime baadhi ya game wanakuaga live.
Station namba ngapi hyo etv boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…