[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aliingilia bronestromen akawapiga wote, ndio maana wakapanga mechi ijayo ni wote watatu atakaeshinda anapambana na lesnarGame yake na Samoa Joe imeshachezwa? Si walisema atakaeshinda hapo ndo atapambana na Brok Lesnar
Sent using Jamii Forums mobile app
We sio kweli, kapigwa game 2 na stromen na amempiga 1Sijui Kwann Roman hamuwez stuntman.. hii n game ya tatu Roman anapigwaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
We sio kweli, kapigwa game 2 na stromen na amempiga 1Sijui Kwann Roman hamuwez stuntman.. hii n game ya tatu Roman anapigwaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo ndilo lilikuwa lengo la strawman, maana huwa analalamika kuwa huwa hapangwi kwenye match za kushindania ubingwaAliingilia bronestromen akawapiga wote, ndio maana wakapanga mechi ijayo ni wote watatu atakaeshinda anapambana na lesnar
Kuna channel eeegh? Na decoder ipi aseee...?Kwa wale wanaotaka kupata wwe live unaweza ukaniambia mkoa uliopo ili nkuunganishe na fundi. Kikubwa kama uko mikoa ya Kanda ya Ziwa Basi Uwe hata na dish alao futi 3 nakuendelea kama huku huku kwetu Arusha, dar n.k uwe na dish ft 8 nkuunganisha na fundi na mieleka utafungiwa na utakuwa unawach bure bila kulipia
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukishaelezaculipo ntakujulisha na decoda pia uzuri ukishanunua hulipii kwa mweziKuna channel eeegh? Na decoder ipi aseee...?
Live Monday raw ni Jumanne live na Smackdown ni jumatano. SAMSLAM huwa inakuaga jumapili. Ratiba ya TNA ndio sijui.
hata nikijua ratba sina pa kuangalia jamani, nwenye link awe anatutupia hapa,Live Monday raw ni Jumanne live na Smackdown ni jumatano. SAMSLAM huwa inakuaga jumapili. Ratiba ya TNA ndio sijui.
Sent using Jamii Forums mobile app
BroklesnalRandy Oton Mhenga[emoji23][emoji23][emoji23].
ko,seth rolin,Aj nk sijamuona wa kumfikia roman reigns
Roman n mkazaji mzuri
mimi binafsi napenda mwanamieleka asieshindwa, asiepigana battle za uonevu, na cheat cheat kibao yani habahatishi...
asie vaa machupi , mfano reigns ana mavazi yake mazuri yanayomtambulisha kabisa sio mambo ya vichupi...
pia naangalia silaha za kumalizia ,mfano reigns ana ngumi yake ile akipiga huamki, Randy oton ana Rko, john cena anayo yake ,Dx michael shown alikuaga na teke nk
so Roman reigns ana hizo sifa yuko Fair, loyal ,mvumilivu anauzika nk
chunguza wana mieleka wengi wanaopendwa wana hizo sifa na sio wavaa vichupi. Mfano John cena ,rey maysterio nk
TECNO-C5 Wereva
TNA huwa haivutii kabisaLive Monday raw ni Jumanne live na Smackdown ni jumatano. SAMSLAM huwa inakuaga jumapili. Ratiba ya TNA ndio sijui.
Sent using Jamii Forums mobile app