Roman Reigns and Dean Ambrose special thread

Roman Reigns and Dean Ambrose special thread

Aliingilia bronestromen akawapiga wote, ndio maana wakapanga mechi ijayo ni wote watatu atakaeshinda anapambana na lesnar
Hilo ndilo lilikuwa lengo la strawman, maana huwa analalamika kuwa huwa hapangwi kwenye match za kushindania ubingwa
 
Kwa wale wanaotaka kupata wwe live unaweza ukaniambia mkoa uliopo ili nkuunganishe na fundi. Kikubwa kama uko mikoa ya Kanda ya Ziwa Basi Uwe hata na dish alao futi 3 nakuendelea kama huku huku kwetu Arusha, dar n.k uwe na dish ft 8 nkuunganisha na fundi na mieleka utafungiwa na utakuwa unawach bure bila kulipia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wale wanaotaka kupata wwe live unaweza ukaniambia mkoa uliopo ili nkuunganishe na fundi. Kikubwa kama uko mikoa ya Kanda ya Ziwa Basi Uwe hata na dish alao futi 3 nakuendelea kama huku huku kwetu Arusha, dar n.k uwe na dish ft 8 nkuunganisha na fundi na mieleka utafungiwa na utakuwa unawach bure bila kulipia

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna channel eeegh? Na decoder ipi aseee...?
 
Randy Oton Mhenga[emoji23][emoji23][emoji23].

ko,seth rolin,Aj nk sijamuona wa kumfikia roman reigns

Roman n mkazaji mzuri
mimi binafsi napenda mwanamieleka asieshindwa, asiepigana battle za uonevu, na cheat cheat kibao yani habahatishi...

asie vaa machupi , mfano reigns ana mavazi yake mazuri yanayomtambulisha kabisa sio mambo ya vichupi...

pia naangalia silaha za kumalizia ,mfano reigns ana ngumi yake ile akipiga huamki, Randy oton ana Rko, john cena anayo yake ,Dx michael shown alikuaga na teke nk


so Roman reigns ana hizo sifa yuko Fair, loyal ,mvumilivu anauzika nk
chunguza wana mieleka wengi wanaopendwa wana hizo sifa na sio wavaa vichupi. Mfano John cena ,rey maysterio nk

TECNO-C5 Wereva
Broklesnal

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mechi ya Leo Roma Rain,Samoe Joe na Brown Strowman. Alieibuka mshindi ni Roma Rain. 2.Mechi ya pili Cruwsweirt ilipigana Tagteam wakaibu Akina Titas. 3.Shemas/Rolin na akashinda Rolin. 4.Tag tem Hardyboy V/s Calos na rafiki yake na Hardboy wameshinda 5.Kwa mademu Aliyeshinda ni Belly. Hii monday night raw. Kesho ni Smackdown

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina Link mimi natumia dish. Sat ni Thor 0.8 Tp 4176 polary h Simble rate 27999 Channel ni Afn Sport 2. ni ya wanajeshi ya wamarekani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia kwa wale wamagharib mwa tz Kuna sat rahisi tu kama utahitaji fundi au maelezo unaweza sema. Kwa Tna Sat ni Intesalt 20 nyuzi 68 c band channel inaitwa Sony six

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom