Mkuu kuna match walizirukisha, sikuziona. Niliangalia kupitia Sony. Match ya Randy vs Rusev, Cena vs Cobin, Ya Natalya sikuiona, New day vs The Uso (Hii niliona matokeo)
android phone
Randy alimpiga Rusev, Cena alimpiga Cobin na Natalya alipata mkanda baada ya kumpiga Naomi. Kwa matokeo mazuri Cheki AFN Sport 2Mkuu kuna match walizirukisha, sikuziona. Niliangalia kupitia Sony. Match ya Randy vs Rusev, Cena vs Cobin, Ya Natalya sikuiona, New day vs The Uso (Hii niliona matokeo)
Nipe feedback mkuu wa hizi mechi
Unampata John Morrison? Yule best friend wake na the Miz kipind wapo WWE. Yupo TNA. Duh! Nimefurahi sana. Sasa hiv anajiita Johhny Impact.Randy alimpiga Rusev, Cena alimpiga Cobin na Natalya alipata mkanda baada ya kumpiga Naomi. Kwa matokeo mazuri Cheki AFN Sport 2
Sent using Jamii Forums mobile app
TNA inaonyeshwagwa na Sony six ila nachukiaga marudio ni meengi. Kuna kipindi AFN inarusha jumamosi inaitwa wwe XNT nayo nataka niifuatilie naona iko vizuri. TNA naona wanashindaga Wahindi tu siku hizi.Unampata John Morrison? Yule best friend wake na the Miz kipind wapo WWE. Yupo TNA. Duh! Nimefurahi sana. Sasa hiv anajiita Johhny Impact.
Alberto De reo yupo TNA
Wwe NXT haiko vizuri kihivyo huwa naangalia main event.TNA inaonyeshwagwa na Sony six ila nachukiaga marudio ni meengi. Kuna kipindi AFN inarusha jumamosi inaitwa wwe XNT nayo nataka niifuatilie naona iko vizuri. TNA naona wanashindaga Wahindi tu siku hizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nlie muita Dogo ni Enzo Amore. Na Ale ni Alixa Bliss. Pia kulikuwa na Mechi ya Dean/Rolin na Shemus/SesaroYaliyotokea leo wwe Night raw. General Meneja alitangaza Mechi ya Royal ipigwe kwa mastar kadhaa ili apatikane Burger King atakaeshindana na The Mez kwenye No mercy na baada ya wengi kutolewa alibaki Jafary kwenye kundi la Hardy boyz. Lingine Kwenye Nor mercy pia ni Braw Strwoman na Brock Lesna watapigana kwenye Wire. Pia Roman Rain na John Cena pia watapigan pia hii ni baada ya leo kuwapiga akina Calos/Anderson baada ya kuingilia leo kwenye Event yao. Akishinda Cena atakuwa ndio anashikilia Wrestlmania ambaye anashikilia sasa Roman Rain alipompiga The Ander teka na hatimae The Ander kustaafu. Pia Ale amempiga Sasha leo na kumnyanganya mkanda wa wwe woman Championship. Mwisho upande wa Cruws weight ni yule Dogo alikuwa na Big Case atapambana na anaeshikilia sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umepata wapi hiz taarifaLeo SmackDown leo. Tag Tearm Kelvin/Benjamen wameshinda. J usso wamewapiga New day. Andry Orton/Shinshe Nakamoa wamewapiga Jinder Mahor/Rusev ila baada ya kushinda Orton alimvizia Nakamua Kwa KO hivo kutakuwa na mechi baina yao. Aj Style ameendea kuwa butua wakina Kobel na kuendelea kuwa steel Amerika Championship, Maskin Zemzain Kafanyiwa fitina na Kelvin Owen. Ni hayo tu na mengine machache ambayo sijayaandika kwa leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeangalia kwa tv. Mimi ni Fundi madish nina Channel inayoonyesha
Huyu na Naomi,nawakubali vilivyo
android phone
Smackdown ya jumanne hii Aj style bado anashikilia mkanda wa U.s.a baada ya kumshinda Kelvin Owen. Nakamoa jampiga John Cena hivo Nakamua atashindana na Jinder Maharaja kungangania mjanda anaoushikilia.
Walishazichapa Kama ujuavyo Maharaja mzee wa kusaisiwa kashinda. Smackdown Ijayo ni Andry Orton na Nakamua ndio watazichapa. Aj Style na Kobel.na huenda Shane wakazichapa na Kelvin Owen.Owen kaomba wa rematch halafu Shane awe referee nasikia nayo kabutuliwa,Aj kashinda. Hivi nakamura na maharaja washazichapa?? Namkubali shunsuke nakamura jomoni
Walishazichapa Kama ujuavyo Maharaja mzee wa kusaisiwa kashinda. Smackdown Ijayo ni Andry Orton na Nakamua ndio watazichapa. Aj Style na Kobel.na huenda Shane wakazichapa na Kelvin Owen.
Kashinda mahajara??? Mmmh. Owen atapasuliwa tena kama alivyochapwa na Aj style
Sent using Jamii Forums mobile app