Roman Reigns and Dean Ambrose special thread

hata wacheza mpira wanakufa
nilikua naomba evidence kwamba matokeo hupangwa
mimi sijui kama ni kweli au lah

Ata mm reign lakn nliamin huu mchezo matokeo hupangwa..uktaka kuamin karudie ile match ya reign na lesnar,jinsi ambavyo seth rollen alivokuja kuchkua ushindi kirahisi vile na style yke ya uongo...yaani roman kamkomalia mapgo lesnar vile,kaja seth pigo lake.1 la uongo na kashnda
 
Hahahaaa
...wanaboa kwa kuwa ww n shabiki wa Roman, ingawa na mim siwapendi ila naona wananogesha show hasa style zao za kuimba na kucheza!
hahaha ila wanachapwaga mpaka nasemaga hawatatokea tena
 
Current wrestler aliekaa muda mrefu na mkanda wa wwe ni cm punk alikua hatari sana undefeated for more than a year na miezi 2 nikitaka nusu nitoe chozi aliponyanganywa na the rock😊😊😊
Na the rock nae kapotelea kwenye movie
 
Taker bado hajastaafu bna..mbna namuonaga kwnye events nyingi 2

Kuna jamaa alisema kastaafu ndo nikambishia kwa sababu ata wrestamania ya mwaka huu kapiga ila mzee umri ushaenda
Mwaka Jana wrestamania alipigwa na Brock lesnar
 
masai dada

WWE siku hizi bwana haivutii kama zamani sijaangalia muda mrefu, thou Roman Reigns ni noma sana.

Tell me hivi Brock Lesnar bado yupo?
Huyu Roman Reigns anaweza akapigana naye hata dakika kumi kweli?

Ashapigana naye akanyang'anywa tonge mdomoni na mr money in the bank Seth
 
Last edited by a moderator:
Current wrestler aliekaa muda mrefu na mkanda wa wwe ni cm punk alikua hatari sana undefeated for more than a year na miezi 2 nikitaka nusu nitoe chozi aliponyanganywa na the rock😊😊😊

The Shield ndio walikuwa wanamsaidia akae muda mrefu binafsi hakuwa na ujanja, aliconspire na kikundi cha kumsaidia ili akae muda mrefu
 
masai dada

WWE siku hizi bwana haivutii kama zamani sijaangalia muda mrefu, thou Roman Reigns ni noma sana.

Tell me hivi Brock Lesnar bado yupo?
Huyu Roman Reigns anaweza akapigana naye hata dakika kumi kweli?

..masai dada upo juu, kumbe upo mpk huku!!
ewe usiemjua roman reigns mtazame kwenye wrestlemania 30 or 31 alivyokomaa na brock lesnar,km sio seth rollins ali cash money akachukua ule mkanda,nilikua naham sn nione mwisho angeshinda nani ile fight.., kamgaragaza big show mara kibao kwny last man standing,jamaa anajua,yupo vizuri.
 
Last edited by a moderator:
...ila WWE ushindani siku hizi umepungua, leo nimecheki wrestlemania 21 batista anachukua mkanda kwa triple H,zile ndio zilikua fight za maana..
 
hata wacheza mpira wanakufa
nilikua naomba evidence kwamba matokeo hupangwa
mimi sijui kama ni kweli au lah

Boss mie nimetoa hoja nikiwa namaana kwamba huu mchezo wengi huuchukulia kama mashindano real kama ngumi za kulipwa kama za kina mayweather au UFC, naamini ulitazama majuzi Rondah Rousey alipopigwa KO na Holly Holms....





Mimi pia niliamini hivyo miaka ya nyuma, ila nikaja kugudua matokeo yanapangwa na watu wanaliwa hela...Nahata ukitazama hawa WWE hawalipwi mpunga kama wanaochukua kina mayweather au Tyson, ni kwanini....

Pia ninaongea hivi kwasababu kuna siku niliumia sana bingwa wangu aliposhindwa kwa fitina.... nikafatilia na kujua ukweli kwamba nisiumize kichwa hawa jamaa mule wanacheza muvi...

kila mchezaji kaajiriwa na WWE, anapewa mkataba na anapewa mechi na namna atakavyo shindana na matokeo yanapangwa na kampuni...

Jambo la kulipa kodi ndio lilipelekea Owner wa WWE, Vince McMahon kuweka wazi mwaka 1989 kwamba wrestling yao ni burudani na sio mpambano real na ndio maana ya kutoka kwenye jinaWWF kwenda kwenye jina WWE, na hata TNA...

Sample ya ukweli huo waweza pata alipohojiwa na CNN, au sikiliza matamshi ya CM punk youtube, just google au ...
chini hapa ni part ya reported segment....naomba uielewe.....na mi pianielewe ....sikukosoi ...ila nia yangu ni kushea ninachokijua hapo miaka ya nyuma kuhusu tangu WWF hadi ikawa WWE, ili watanzania wenzangu kama walikua hawalijuihili basi ni swala la kushea tu ....nahisi ni jambo la kawaida tu.

?Sports Entertainment? is born
February 10 1989 was the day the facade died, as in front of the State of New Jersey Senate on a bill to remove Wrestling from the regulations that had been applied by the Athletic Commissions, Vince McMahon, representing the World Wrestling Federation, stated that professional wrestling should be defined as "an activity in which participants struggle hand-in-hand primarily for the purpose of providing entertainment to spectators rather than conducting a bona fide athletic contest."

Professional Wrestling is predetermined. The winner is decided before the match, and the wrestlers involved by and large try their hardest to be safe and not injure their opponent. (Note that the word ?fake? has not been used; while the matches are scripted and the action choreographed, the physical impact is very much real).

Real thing-UFC, Prof-Boxing, MMA
 
Brock leaner the streak breaker ndo aliyempiga undertaker wrestle mania huwa hakubali kushindwa ukimshinda mnarudiana na atakudunda tu waliompiga hawazidi watano akina Goldberg, undertaker triple H, big show wengine ni chapati za maji kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…