samuel faraj
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 1,326
- 1,265
Dah...baada ya Taker kustaafu hata siangalii teNA WWE...
Sina uhakika Kama taker kastaafu tayari Ila najua siku izi anapigana kwenye main events tu Kama wrestamania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah...baada ya Taker kustaafu hata siangalii teNA WWE...
Mkuu angalia kuna misumari mipya mikali sanaDah...baada ya Taker kustaafu hata siangalii teNA WWE...
hata wacheza mpira wanakufa
nilikua naomba evidence kwamba matokeo hupangwa
mimi sijui kama ni kweli au lah
Sina uhakika Kama taker kastaafu tayari Ila najua siku izi anapigana kwenye main events tu Kama wrestamania
hahaha ila wanachapwaga mpaka nasemaga hawatatokea tenaHahahaaa
...wanaboa kwa kuwa ww n shabiki wa Roman, ingawa na mim siwapendi ila naona wananogesha show hasa style zao za kuimba na kucheza!
Na the rock nae kapotelea kwenye movieCurrent wrestler aliekaa muda mrefu na mkanda wa wwe ni cm punk alikua hatari sana undefeated for more than a year na miezi 2 nikitaka nusu nitoe chozi aliponyanganywa na the rock😊😊😊
Na the rock nae kapotelea kwenye movie
Dah...baada ya Taker kustaafu hata siangalii teNA WWE...
Taker bado hajastaafu bna..mbna namuonaga kwnye events nyingi 2
masai dada
WWE siku hizi bwana haivutii kama zamani sijaangalia muda mrefu, thou Roman Reigns ni noma sana.
Tell me hivi Brock Lesnar bado yupo?
Huyu Roman Reigns anaweza akapigana naye hata dakika kumi kweli?
Current wrestler aliekaa muda mrefu na mkanda wa wwe ni cm punk alikua hatari sana undefeated for more than a year na miezi 2 nikitaka nusu nitoe chozi aliponyanganywa na the rock😊😊😊