masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
- Thread starter
-
- #81
uwenda ukawa na ukweli maana sisi tunatizama kwenye tv tu hatupo huko jikoni in the makingBoss mie nimetoa hoja nikiwa namaana kwamba huu mchezo wengi huuchukulia kama mashindano real kama ngumi za kulipwa kama za kina mayweather au UFC, naamini ulitazama majuzi Rondah Rousey alipopigwa KO na Holly Holms....
Mimi pia niliamini hivyo miaka ya nyuma, ila nikaja kugudua matokeo yanapangwa na watu wanaliwa hela...Nahata ukitazama hawa WWE hawalipwi mpunga kama wanaochukua kina mayweather au Tyson, ni kwanini....
Pia ninaongea hivi kwasababu kuna siku niliumia sana bingwa wangu aliposhindwa kwa fitina.... nikafatilia na kujua ukweli kwamba nisiumize kichwa hawa jamaa mule wanacheza muvi...
kila mchezaji kaajiriwa na WWE, anapewa mkataba na anapewa mechi na namna atakavyo shindana na matokeo yanapangwa na kampuni...
Jambo la kulipa kodi ndio lilipelekea Owner wa WWE, Vince McMahon kuweka wazi mwaka 1989 kwamba wrestling yao ni burudani na sio mpambano real na ndio maana ya kutoka kwenye jinaWWF kwenda kwenye jina WWE, na hata TNA...
Sample ya ukweli huo waweza pata alipohojiwa na CNN, au sikiliza matamshi ya CM punk youtube, just google au ...
chini hapa ni part ya reported segment....naomba uielewe.....na mi pianielewe ....sikukosoi ...ila nia yangu ni kushea ninachokijua hapo miaka ya nyuma kuhusu tangu WWF hadi ikawa WWE, ili watanzania wenzangu kama walikua hawalijuihili basi ni swala la kushea tu ....nahisi ni jambo la kawaida tu.
?Sports Entertainment? is born
February 10 1989 was the day the facade died, as in front of the State of New Jersey Senate on a bill to remove Wrestling from the regulations that had been applied by the Athletic Commissions, Vince McMahon, representing the World Wrestling Federation, stated that professional wrestling should be defined as "an activity in which participants struggle hand-in-hand primarily for the purpose of providing entertainment to spectators rather than conducting a bona fide athletic contest."
Professional Wrestling is predetermined. The winner is decided before the match, and the wrestlers involved by and large try their hardest to be safe and not injure their opponent. (Note that the word ?fake? has not been used; while the matches are scripted and the action choreographed, the physical impact is very much real).
Real thing-UFC, Prof-Boxing, MMA
by the way unazungumziaje swala zima la kuunjika,kuumizwa hadi damu?
Dislocation,watu kulazwa
unakumbuka ray masterio(kama sikosei) match yake ya kwanza kwao aliua?
MKUU HAYO NAYO YANAKUWA SCRIPTED? au ajali kazini?
Haya tuseme ajali kazini unakumbuka block like three weeks ago alimvunja mguu mshenga/jamaa(sikumbuk vyema) wa jamaa aliekua anapigana nae then akamfata hospital akamkunguta tena?
Hvi hayo yote ni MAIGIZO?
Anyways usinikumbushe ya rhondah hahahaha dada mkorofi sana alidai anataka apigane na may weather
kipondo alichoshushiwa that day hakuamini
japo unajua hakuwah kupigawaa? Ile ndo mara yake ya kwanza