Roman Reigns and Dean Ambrose special thread

Boss mie nimetoa hoja nikiwa namaana kwamba huu mchezo wengi huuchukulia kama mashindano real kama ngumi za kulipwa kama za kina mayweather au UFC, naamini ulitazama majuzi Rondah Rousey alipopigwa KO na Holly Holms....

images

Mimi pia niliamini hivyo miaka ya nyuma, ila nikaja kugudua matokeo yanapangwa na watu wanaliwa hela...Nahata ukitazama hawa WWE hawalipwi mpunga kama wanaochukua kina mayweather au Tyson, ni kwanini....

Pia ninaongea hivi kwasababu kuna siku niliumia sana bingwa wangu aliposhindwa kwa fitina.... nikafatilia na kujua ukweli kwamba nisiumize kichwa hawa jamaa mule wanacheza muvi...

kila mchezaji kaajiriwa na WWE, anapewa mkataba na anapewa mechi na namna atakavyo shindana na matokeo yanapangwa na kampuni...

Jambo la kulipa kodi ndio lilipelekea Owner wa WWE, Vince McMahon kuweka wazi mwaka 1989 kwamba wrestling yao ni burudani na sio mpambano real na ndio maana ya kutoka kwenye jinaWWF kwenda kwenye jina WWE, na hata TNA...

Sample ya ukweli huo waweza pata alipohojiwa na CNN, au sikiliza matamshi ya CM punk youtube, just google au ...
chini hapa ni part ya reported segment....naomba uielewe.....na mi pianielewe ....sikukosoi ...ila nia yangu ni kushea ninachokijua hapo miaka ya nyuma kuhusu tangu WWF hadi ikawa WWE, ili watanzania wenzangu kama walikua hawalijuihili basi ni swala la kushea tu ....nahisi ni jambo la kawaida tu.

?Sports Entertainment? is born
February 10 1989 was the day the facade died, as in front of the State of New Jersey Senate on a bill to remove Wrestling from the regulations that had been applied by the Athletic Commissions, Vince McMahon, representing the World Wrestling Federation, stated that professional wrestling should be defined as "an activity in which participants struggle hand-in-hand primarily for the purpose of providing entertainment to spectators rather than conducting a bona fide athletic contest."

Professional Wrestling is predetermined. The winner is decided before the match, and the wrestlers involved by and large try their hardest to be safe and not injure their opponent. (Note that the word ?fake? has not been used; while the matches are scripted and the action choreographed, the physical impact is very much real).

Real thing-UFC, Prof-Boxing, MMA
uwenda ukawa na ukweli maana sisi tunatizama kwenye tv tu hatupo huko jikoni in the making
by the way unazungumziaje swala zima la kuunjika,kuumizwa hadi damu?
Dislocation,watu kulazwa
unakumbuka ray masterio(kama sikosei) match yake ya kwanza kwao aliua?
MKUU HAYO NAYO YANAKUWA SCRIPTED? au ajali kazini?
Haya tuseme ajali kazini unakumbuka block like three weeks ago alimvunja mguu mshenga/jamaa(sikumbuk vyema) wa jamaa aliekua anapigana nae then akamfata hospital akamkunguta tena?
Hvi hayo yote ni MAIGIZO?

Anyways usinikumbushe ya rhondah hahahaha dada mkorofi sana alidai anataka apigane na may weather
kipondo alichoshushiwa that day hakuamini
japo unajua hakuwah kupigawaa? Ile ndo mara yake ya kwanza
 
masai dada

WWE siku hizi bwana haivutii kama zamani sijaangalia muda mrefu, thou Roman Reigns ni noma sana.

Tell me hivi Brock Lesnar bado yupo?
Huyu Roman Reigns anaweza akapigana naye hata dakika kumi kweli?

huyu habari nyingine mkuu
 
Last edited by a moderator:
..masai dada upo juu, kumbe upo mpk huku!!
ewe usiemjua roman reigns mtazame kwenye wrestlemania 30 or 31 alivyokomaa na brock lesnar,km sio seth rollins ali cash money akachukua ule mkanda,nilikua naham sn nione mwisho angeshinda nani ile fight.., kamgaragaza big show mara kibao kwny last man standing,jamaa anajua,yupo vizuri.
Urefu pia unamsaidia
kuna jinsi anavyorukaga juu analafu anapiga teke zito sana
 
uwenda ukawa na ukweli maana sisi tunatizama kwenye tv tu hatupo huko jikoni in the making
by the way unazungumziaje swala zima la kuunjika,kuumizwa hadi damu?
Dislocation,watu kulazwa
unakumbuka ray masterio(kama sikosei) match yake ya kwanza kwao aliua?
MKUU HAYO NAYO YANAKUWA SCRIPTED? au ajali kazini?
Haya tuseme ajali kazini unakumbuka block like three weeks ago alimvunja mguu mshenga/jamaa(sikumbuk vyema) wa jamaa aliekua anapigana nae then akamfata hospital akamkunguta tena?
Hvi hayo yote ni MAIGIZO?

Anyways usinikumbushe ya rhondah hahahaha dada mkorofi sana alidai anataka apigane na may weather
kipondo alichoshushiwa that day hakuamini
japo unajua hakuwah kupigawaa? Ile ndo mara yake ya kwanza

Hta km inakua scripted, but naamin bado n best, siamin km wazungu wemgi na akili zao wapoteze muda kwa kile kitu cha maigizo.

Halafu nawashangaa hawa wanaosema hawaipend wwe ni fake wanazipenda movies za akina Jackie Chain, Van Damme na kina Rambo!
 
nipe ushuhuda maridhawa wa kauli zako
kwa mfano legend msataafu aliyekiri hayo
usinipe link za wikpedia

Leo mechi itavurugwa kwa lengo kwamba wata rematch ilikuuza tiketi kwa wingi na bei aghali!! Wanapanga matokeo kwa kuweka ushindani mkubwa ajili ya faida ya kiuchumi ya WWE
 
Hta km inakua scripted, but naamin bado n best, siamin km wazungu wemgi na akili zao wapoteze muda kwa kile kitu cha maigizo.

Halafu nawashangaa hawa wanaosema hawaipend wwe ni fake wanazipenda movies za akina Jackie Chain, Van Damme na kina Rambo!
Hahaha au bongo movie mtu anaonja sumu aliyoweka kwenye chakula kumuua mume wake kuangalia kama imekolea kabla hajatenga
 
Una mawazo kama yangu
 
Hahahaaa
...mkuu umenifanya nimecheka kwa sauti kubwa sana, afu nipo nakula imebid nitulie kwanza.
..kweli kabisaa, hawa usikute n mashabik wakubwa wa kina Ray na Wema Sepetu.
 
uwenda ukawa na ukweli maana sisi tunatizama kwenye tv tu hatupo huko jikoni in the making
by the way unazungumziaje swala zima la kuunjika,kuumizwa hadi damu?
Dislocation,watu kulazwa
unakumbuka ray masterio(kama sikosei) match yake ya kwanza kwao aliua?
MKUU HAYO NAYO YANAKUWA SCRIPTED? au ajali kazini?
Haya tuseme ajali kazini unakumbuka block like three weeks ago alimvunja mguu mshenga/jamaa(sikumbuk vyema) wa jamaa aliekua anapigana nae then akamfata hospital akamkunguta tena?
Hvi hayo yote ni MAIGIZO?

Anyways usinikumbushe ya rhondah hahahaha dada mkorofi sana alidai anataka apigane na may weather
kipondo alichoshushiwa that day hakuamini
japo unajua hakuwah kupigawaa? Ile ndo mara yake ya kwanza

Mkuu hizo nilizokupa ni facts....na pia nimekupa reference za watu walio admit .....ili kwenda na sheria za michezo marekani katika swala zima la ulipaji kodi...

Hawa wapo kampuni moja, matokeo yanapangwa...na ili kutengeneza ushabiki nilazima wachukue risks kibao ...the idea ni kupata pay per view, advertisement, na kuraise ticket salaes...ili kuishi mjini...
ra
Kwahiyo yale yote ya kuvunja miguu, kisses kwa wake, kulia...vyote ni arranged before game.....Vitu vya kutazama.....vituko vya refa kuhesabu fasta au taratibu au refa kwenda kuamulia ugomvi wa nje ya ring usio husu lolote....

mchezaji mwingine kuja kuingilia mechi ambayo hausiki...kwani mabaunsa hawapo.....
yale machuma ya ngazi wanayo bamizana nayo au viti unadhani silaha za kweli....na kama zinajeruhi kwann zinawekwa karibu ya ringi kama sio arrangement...na material zake sio harmful...

sijui wewe umetazama kwa miaka mingapi ila nakupa miaka mitatu utarudi kusema ninayo sema.....

Ila ni mchezo mzuri sana hata wapenzi wao hawapendi ionekane ni imepangwa.....Kingine ilw warning kwamba dont try this at home....mbona boxers na ufc hawana hiyo warning....
 
Una mawazo kama yangu

Nililigundua hili wakati John Cena na Randy Orton wakiwa kwenye peak ya mafanikio!! Niliwafatilia kwa ukaribu sana nikagundua baadhi ya vitu ni kama vinapangwa au viini macho kwa faida ya kampuni!!

Pia wakati wa Batista akiwa na bifu zito dhidi ya Triple H, walichezeshwa kimipango sana!! All in all bifu la marehemu Umaga na Bobby Lashley ndiyo WWE waliingiza sana hela, nimeanza kuujua kitambo sana tangu enzi tunaangalia ile KBC wanapanda kwenye kamba hahahahaaaaa
 
Leo mechi itavurugwa kwa lengo kwamba wata rematch ilikuuza tiketi kwa wingi na bei aghali!! Wanapanga matokeo kwa kuweka ushindani mkubwa ajili ya faida ya kiuchumi ya WWE

na hiyo ndio strategy yao...kutengeneza msisimko kwa kadri itakavyowezekana ili kuishi mjini as long as sheria hazivunjwi..
 
Hta km inakua scripted, but naamin bado n best, siamin km wazungu wemgi na akili zao wapoteze muda kwa kile kitu cha maigizo.

Halafu nawashangaa hawa wanaosema hawaipend wwe ni fake wanazipenda movies za akina Jackie Chain, Van Damme na kina Rambo!

hawatumii neno fake...ila wanasema ile ni kama movie script, na mshindi na mauzauza yote kuleta msisimko yanakua yamepangwa....
 
Mkuu hizo nilizokupa ni facts....na pia nimekupa reference za watu walio admit .....ili kwenda na sheria za michezo marekani katika swala zima la ulipaji kodi...

Hawa wapo kampuni moja, matokeo yanapangwa...na ili kutengeneza ushabiki nilazima wachukue risks kibao ...the idea ni kupata pay per view, advertisement, na kuraise ticket salaes...ili kuishi mjini...
ra
Kwahiyo yale yote ya kuvunja miguu, kisses kwa wake, kulia...vyote ni arranged before game.....Vitu vya kutazama.....vituko vya refa kuhesabu fasta au taratibu au refa kwenda kuamulia ugomvi wa nje ya ring usio husu lolote....

mchezaji mwingine kuja kuingilia mechi ambayo hausiki...kwani mabaunsa hawapo.....
yale machuma ya ngazi wanayo bamizana nayo au viti unadhani silaha za kweli....na kama zinajeruhi kwann zinawekwa karibu ya ringi kama sio arrangement...na material zake sio harmful...

sijui wewe umetazama kwa miaka mingapi ila nakupa miaka mitatu utarudi kusema ninayo sema.....

Ila ni mchezo mzuri sana hata wapenzi wao hawapendi ionekane ni imepangwa.....Kingine ilw warning kwamba dont try this at home....mbona boxers na ufc hawana hiyo warning....
natizama kwa miaka kama 10+ iliyopita tangu kina hogan wanastaaafu
Unaweza ukaandikiwa script ingia ukavunjwe shingo?
Kuna vitu vinapangwa kama zile move za hapa na pale lakini sio ndani ya ulingo
unaweza ukawa una ukweli flani lakini sio wote
 
Back
Top Bottom