Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
- Thread starter
-
- #81
Nipo hapa a really African man giant one. We pm tu uone how African man do love
mashimba litakufaa mke mwenza
Nimekupenda gafula moyo unanidunda dunda
Mi nimetangaza nia wewe si ndio uni.pm?
OK. Kama umetangaza nia uchaguzi tayari ni wewe kutimiza majukumu yako baada ya uchaguzi.
Mmmh. hahahaaa
Haya goodnight luvs.
Ndo mimi haswaa nipo kwa ajiri yako mrembo come here kamwe hautanuna muda wote kwako itakuwa furaha trust meNiko mpweke humu jamani. Nahitaji mtu wa kunichangamsha, mwenye kujua mapenzi hasa muda wote niwe na furaha. Pleeease!!!
Wewe si babu jamani unapigana vikumbo na wajukuu zako hebu nenda kwa bibi umemuacha peke yako tuache na sisi vijana tufaidi bwana kha!Umegoma kuja sio. Ntabadili mawazo ujue.
Ushafika na kwenye posa? Sifa zote unazo? usije aibika na babu yako mtakapokuja na hiyo posa.
basi poa we endelea kumsubiria..
usiporidhika make sure unaniona nifanye yangu..
Haya goodnight luvs.
Heee bro kiwatengu kuna mtu kahack acount yako?Siamini kama ni wewe unajua?Ndugu yako nimepeleka barua ya maombi kwa Bantu lady unajua!
Yaani uwe makini tu kuna mtu anaitwa Daudi1 anakuja kasi huyo sijui kama utamuweza. Zaidi anasaidiwa na kiwatengu na chocs so kazi ni kwako. Morning.
Yaani uwe makini tu kuna mtu anaitwa Daudi1 anakuja kasi huyo sijui kama utamuweza. Zaidi anasaidiwa na kiwatengu na chocs so kazi ni kwako. Morning.