Romantic guy

Romantic guy

hivi romantic guy ndo yukoje.....?ANAE LETA KADI NA MAUWAA,ANAE OMBA MSAMAA HATA KAMA KAKOSEWA YEYE....IN THAT CASE am rude bwaiii.....hutuitaji

Romantic guy ni yule mwenye mapenzi ya dhati,atayemchangamsha bi Bantu lady na kumfanya awe na Furaha muda wote!
 
Last edited by a moderator:
Hadi hapa najivunia ushindi,yaani baada ya uchambuzi yakinifu na upembuzi wa kina tumebaki wawili tu?Nakushukuru sana Bantu lady kwa kuniona nafaa hadi kuwa kwenye 2 bora.Nipatie hiyo namba 1,nizibe huo upweke moyoni na maishani mwako!

Nitakayeona amekidhi vigezo vyangu vyote ndio atakuwa wangu. Nitampenda kwa dhati coz najua kupenda acha dunia yote ataiona yake,nitamheshimu na zaidi ni.mwaminifu hakuna tena.
 
Last edited by a moderator:
Babu Asprin mbona sielewi kinachoendelea hapa?Nilikuita kukupa taarifa ili baadaye unisindikize kutoa mahari lakini ninayoyaona humu naona kama sio!Bibi kaenda wapi kwani?

Uliyataka mwenyewe atakupindua shauri yako. Chezeya mababu uzee mwisho chalinze wewe.
 
Last edited by a moderator:
hivi romantic guy ndo yukoje.....?ANAE LETA KADI NA MAUWAA,ANAE OMBA MSAMAA HATA KAMA KAKOSEWA YEYE....IN THAT CASE am rude bwaiii.....hutuitaji

Yaani ukilijua tu hilo neno na ukajithaminisha ukaona haupo hapo basi. wewe hufai rude boy.
 
Yani nina kimuhemuhe cha kujua huyo atakaeunasa moyo wa Bantu lady. Binti ebu toa maamuzi watu tuserebuke,siku nyingi sijakula vinono vya harusini mie
 
Last edited by a moderator:
Romantic guy ni yule mwenye mapenzi ya dhati,atayemchangamsha bi Bantu lady na kumfanya awe na Furaha muda wote!
hivi kumbe ndo maana ya romantic boy.........mi nilijua romantic is a boy who is very sweet and dearly when it comes to love thing[kucare,to have something special kama ku surprise honey wake kwa dinner ile dinner ambayo ina mazingira ya romantic kama flower and mishumaa,he can buy chocolate,kutembea wameshikana mikono au hug and kissing....JE!!HAMNA MTU MWENYE MAPENZI YA DHATI AFU SIO ROMANTIC????
 
HOW TO MAKE A MAN HAPPY

1. Feed him
2. Sleep with him
3. Leave him with peace
4. Don't check his phone (Msgs)
5. Don't bother him with his
movements
So whats so hard about that?
 
Yani nina kimuhemuhe cha kujua huyo atakaeunasa moyo wa Bantu lady. Binti ebu toa maamuzi watu tuserebuke,siku nyingi sijakula vinono vya harusini mie

Hahahaa unajua kwanza umeniacha hoi na huyo mwenza wako, pili hili langu namtaka mwenye mapenzi ya dhati. Sitaki msanii
 
Last edited by a moderator:
hivi kumbe ndo maana ya romantic boy.........mi nilijua romantic is a boy who is very sweet and dearly when it comes to love thing[kucare,to have something special kama ku surprise honey wake kwa dinner ile dinner ambayo ina mazingira ya romantic kama flower and mishumaa,he can buy chocolate,kutembea wameshikana mikono au hug and kissing....JE!!HAMNA MTU MWENYE MAPENZI YA DHATI AFU SIO ROMANTIC????

Upo sahihi sasa ningeyaweka yote na mengine ingekuwa gazeti tena. Ndio maana nikaweka kichwa cha habari tu kinajitosheleza. Unajua kumbe mambo ya dinner hapo kati mishumaa,love songs,vicheko,kisses, tena hoteli kali za pembezoni mwa bahari.
 
B'REAL unaonekana unayajua eeh. Heee mbona........
 
Yani nina kimuhemuhe cha kujua huyo atakaeunasa moyo wa Bantu lady. Binti ebu toa maamuzi watu tuserebuke,siku nyingi sijakula vinono vya harusini mie

My daughter unaniruhusu ku voluntia...!?? kwa nia njema kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom