sungura1980
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 1,909
- 1,213
hivi romantic guy ndo yukoje.....?ANAE LETA KADI NA MAUWAA,ANAE OMBA MSAMAA HATA KAMA KAKOSEWA YEYE....IN THAT CASE am rude bwaiii.....hutuitaji
Hadi hapa najivunia ushindi,yaani baada ya uchambuzi yakinifu na upembuzi wa kina tumebaki wawili tu?Nakushukuru sana Bantu lady kwa kuniona nafaa hadi kuwa kwenye 2 bora.Nipatie hiyo namba 1,nizibe huo upweke moyoni na maishani mwako!
Umegoma kuja sio. Ntabadili mawazo ujue.
Babu Asprin mbona sielewi kinachoendelea hapa?Nilikuita kukupa taarifa ili baadaye unisindikize kutoa mahari lakini ninayoyaona humu naona kama sio!Bibi kaenda wapi kwani?
Nije unifanyie interview?
hivi romantic guy ndo yukoje.....?ANAE LETA KADI NA MAUWAA,ANAE OMBA MSAMAA HATA KAMA KAKOSEWA YEYE....IN THAT CASE am rude bwaiii.....hutuitaji
Wewe si babu jamani unapigana vikumbo na wajukuu zako hebu nenda kwa bibi umemuacha peke yako tuache na sisi vijana tufaidi bwana kha!
Njoo tena umechelewa unajua
hivi kumbe ndo maana ya romantic boy.........mi nilijua romantic is a boy who is very sweet and dearly when it comes to love thing[kucare,to have something special kama ku surprise honey wake kwa dinner ile dinner ambayo ina mazingira ya romantic kama flower and mishumaa,he can buy chocolate,kutembea wameshikana mikono au hug and kissing....JE!!HAMNA MTU MWENYE MAPENZI YA DHATI AFU SIO ROMANTIC????Romantic guy ni yule mwenye mapenzi ya dhati,atayemchangamsha bi Bantu lady na kumfanya awe na Furaha muda wote!
:majani7::majani7:Yaani ukilijua tu hilo neno na ukajithaminisha ukaona haupo hapo basi. wewe hufai rude boy.
Yani nina kimuhemuhe cha kujua huyo atakaeunasa moyo wa Bantu lady. Binti ebu toa maamuzi watu tuserebuke,siku nyingi sijakula vinono vya harusini mie
hivi kumbe ndo maana ya romantic boy.........mi nilijua romantic is a boy who is very sweet and dearly when it comes to love thing[kucare,to have something special kama ku surprise honey wake kwa dinner ile dinner ambayo ina mazingira ya romantic kama flower and mishumaa,he can buy chocolate,kutembea wameshikana mikono au hug and kissing....JE!!HAMNA MTU MWENYE MAPENZI YA DHATI AFU SIO ROMANTIC????
Yani nina kimuhemuhe cha kujua huyo atakaeunasa moyo wa Bantu lady. Binti ebu toa maamuzi watu tuserebuke,siku nyingi sijakula vinono vya harusini mie
Damu zimeendana bas