Romantic guy

Unajua hakuna njia huko uendako, utapotea bure. Bora urudi ulikotoka.

Bantu Lady wapitaji wote hao hakijaeleweka tu???? haya mie nipo kwa hayo unayoyahitaji... so kabla sijapotea nipokee.... maaana nilitaka kupita vuuuuuuuu.........
 
Bantu Lady wapitaji wote hao hakijaeleweka tu???? haya mie nipo kwa hayo unayoyahitaji... so kabla sijapotea nipokee.... maaana nilitaka kupita vuuuuuuuu.........

Nataka kuwapeperusha wote. Vigezo lazima vikidhi alivyoandika Adharusi bila hivyo bora nikose, ama nitafute upya. Sawa
 
Nataka kuwapeperusha wote. Vigezo lazima vikidhi alivyoandika Adharusi bila hivyo bora nikose, ama nitafute upya. Sawa

Ukishafanya upembuzi yakinifu utaniambia,unajua Bantu lady kizuri chajiuza,hivyo mi matangazo saaaaana sina!Ukimaliza njoo huku PM!
 
Last edited by a moderator:
Niko mpweke humu jamani. Nahitaji mtu wa kunichangamsha, mwenye kujua mapenzi hasa muda wote niwe na furaha. Pleeease!!!

Teheheeeeeeee! Jf kiboko ya social network....! Sasa Bantu Lady mama angu huyo mtu kweli yupo dunia hii au tipige simu sayari ya Mars I see. Maana mtu wa kukuchangamsha mda wote..... Na na kukupa raha duuu itakuwa ngumu ati..!
 
Yupo bana sayari hii hii huwezi amini.
 
Eti eti eti nilikuwa nauliza hiviiii.... kama utakubali kuwa nami mitala yaani muwe wawili hapa. Halafu twende chumbani ukishajibu

Duhhhh,hapana siko tayari Bantu lady!Nia ni umpate mtu wa kukupatia furaha na kukuchangamsha,hawawezi kuwa 2!Nikusaidie kuchagua Bantu lady kati yetu,Kwa moyo mweupe kabisa,namruhusu huyo mwenzangu aendelee!
 
Last edited by a moderator:
Du! Pokea busu la mwaka kwani nilikumisi. Upo? Nakuja kukupa furaha
 
eka contact wajuba wakutafute kama unamaanisha ila mim napga sebe siihitaj iyo fursa
 
Duhhhh,hapana siko tayari Bantu lady!Nia ni umpate mtu wa kukupatia furaha na kukuchangamsha,hawawezi kuwa 2!Nikusaidie kuchagua Bantu lady kati yetu,Kwa moyo mweupe kabisa,namruhusu huyo mwenzangu aendelee!

hahahaha sungura1980 hili tamko lako bado linahold water au linakanushwa? maana leo naona ni birthday na Bantu lady keshafanya mambo...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…