Rombo, Kilimanjaro: Ugomvi wa familia wasababisha kifo

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
John Wilbard, mkazi wa kijiji cha Chala wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani humo kwa tuhuma za kumuua mtoto wake Amedeus Kavishe.

Kamanda wa polisi wa mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa amesema Wilbard anadaiwa kufanya mauaji hayo wakati wa ugomvi wa kifamilia.

Amesema marehemu amefariki dunia wakati akiwahishwa hospitalini baada ya kukatwa sehemu ya shingoni na kitu chenye ncha kali.

Kamanda Maigwa amesema marehemu Amedeus alikuwa akigombana na mke wake, ndipo baba mzazi alikwenda kuamua ugomvi huo.

Amesema marehemu alimtukana baba yake kisha kumpiga na jiwe kichwani, kitendo kilichosabahisha baba yake kupandwa na hasira na kisha kuchukua panga kumkata mwanae shingoni.

Mwili wa marehemu Amedeus umehifadhiwa katika hospitali ya Ngoyoni.

TBC Taifa
 
Mauaji ya bila kukusudia.

Marehemu ndie alieanza kurusha jiwe kumpiga baba yake.

Pia marehemu ndie alieakuwa na ugomvi na mkewe...baba alienda kuwagombelezea tu.
Kwa hiyo muuaji anaweza kuachiwa huru?
Family nyingine watu hawana maadili,hivi mtoto unawezaje kumrushia hata Kofi baba yako mzazi?
 
John Wilbard, mkazi wa kijiji cha Chala wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani humo kwa tuhuma za kumuua mtoto wake Amedeus Kavishe.

Kamanda wa polisi wa mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa amesema Wilbard anadaiwa kufanya mauaji hayo wakati wa ugomvi wa kifamilia.

Amesema marehemu amefariki dunia wakati akiwahishwa hospitalini baada ya kukatwa sehemu ya shingoni na kitu chenye ncha kali.

Kamanda Maigwa amesema marehemu Amedeus alikuwa akigombana na mke wake, ndipo baba mzazi alikwenda kuamua ugomvi huo.

Amesema marehemu alimtukana baba yake kisha kumpiga na jiwe kichwani, kitendo kilichosabahisha baba yake kupandwa na hasira na kisha kuchukua panga kumkata mwanae shingoni.

Mwili wa marehemu Amedeus umehifadhiwa katika hospitali ya Ngoyoni.

TBC Taifa
Huyo baba ana interest gani na mke wa mwanae kiasi cha kumpiga mwanae kwa panga Hadi kumuua?

Hawa wazee wa migombani wanakulaga sana wakwe zao .
 
Umesoma ukaelewa? Mtoto kamtusi baba na kumpiga na jiwe
 
Ukiona hizi socio conflict zinaongezeka ujue kuna issue mahali....kuna kitabu nilisoma kinaongelea Rwanda na jinsi genocide ilivyotokea. Mwandishi alielezea kwamba kabla genocide haijatokea socio conflict zilikuwa nyingi mno hata within Wahutu kwa wahutu ama watusi kwa watusi wenyewe, political conflict ilikuja ku fuel what was already there. Mwandishi anasema waandishi wengi wa habari walireport kuwa ni mapigano ya wahutu kwa watusi lakini kuna sehemu nyingi wahutu waliua wahutu wenzao ama watusi waliua watusi wenzao. Kuna eneo linaitwa Kanama research zilizofanyika hapo zinaonyesha wahutu waliana sana
 
Inasikitisha sana, kwa nini wanapenda kupigana na vitu vizito...
 
Umesoma ukaelewa? Mtoto kamtusi baba na kumpiga na jiwe
Baba alienda kuamulia ugomvi wa mke na mume ambao ni wanandoa, akaishia yeye kukasirika maana hatujui alipofika kwenye ugomvi nae aliongea nini?

Huwezi kujua baba labda ndio chanzo Cha shida hiyo inabidi wafiche na mkwe wake maana marehemu hawezi kujitetea.

Hii pia ni sehemu ya assumptions kama wengine wanavyoweka assumptions, wapelelezi watachukua assumptions zote za kuzitest kwa maswali kwa wahusika na majirani kuhusu uhusiano wa baba na mkwe pia.
 
Bado hujaelewa, rudia kusoma taarifa kamili ukiwa umetulia.
 
Bado hujaelewa, rudia kusoma taarifa kamili ukiwa uNahaniungesoma ahaniunge daN

Bado hujaelewa, rudia kusoma taarifa kamili ukiwa umetulia.
Soma paragraph ya nne, usiwe na papara ndio maana mnafeli. Mie nimeamua kudeal na hiyo paragraph we unaongelea aliyeanza kumpiga Nani au Nani alitukanwa. Hizo ni paragraph nyingine.

Mie nimeamua kudeal na hapo kuhusu uhusiano wa baba, mkwe kwa nini baba avurugane na mwanae wakati anaamulia? What is the story behind story ya mzee kwenda kuamulia ugomvi?

Sasa ndipo nikasema yawezekana mzee ndio alikuwa chanzo Cha ugomvi maana sio rahisi kijana kumkosea heshima babake na baba kupiga panga.
 
Huyo baba ana interest gani na mke wa mwanae kiasi cha kumpiga mwanae kwa panga Hadi kumuua?

Hawa wazee wa migombani wanakulaga sana wakwe zao .
Soma uelewe kwanza. Unawezaje kumtukana baba yako na kumrushia mawe. Hiyo ni laana.
 
Kwa hiyo muuaji anaweza kuachiwa huru?
Family nyingine watu hawana maadili,hivi mtoto unawezaje kumrushia hata Kofi baba yako mzazi?
Kilimanjaro, ugomvi wa familia, kushtakiana na kuuana kwasababu ya ardhi na mali ni kama kunywa maji.
 
Kwa hiyo muuaji anaweza kuachiwa huru?
Family nyingine watu hawana maadili,hivi mtoto unawezaje kumrushia hata Kofi baba yako mzazi?
... anaweza asiachiwe huru moja kwa moja badala yake akalazimka kutumikia angalau kakifungo ka miaka 10.
 
Back
Top Bottom