Pre GE2025 Rombo: Serikali yakamilisha ujenzi wa Mradi wa Daraja la Mwamba kata ya Katangara Mrere

Pre GE2025 Rombo: Serikali yakamilisha ujenzi wa Mradi wa Daraja la Mwamba kata ya Katangara Mrere

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Diwani wa kata ya Katangara Mrere, Wilayani Rombo Mkoani Kilimanjaro Venance Malleli, ameishukuru serikali kwa kukamilisha Miradi Mbalimbali ndani ya Kata hiyo ikiwemo Mradi wa Daraja la Mwamba ambalo lilikuwa Kilio cha Wananchi kwa zaidi ya Miaka 69.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Amesema hayo Mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Rombo wakati wa Mkutano wa hadhara wa kata hiyo uliokuwa na lengo la kusikiliza kero za wananchi.

 
Back
Top Bottom