Rommy Jones amwita Gabo Zigamba mshamba

Rommy Jones amwita Gabo Zigamba mshamba

magufuli time ... tanzania ya viwanda pale ma men awanakuwa kama mademu..
 
Kiukweli kutoka moyoni nakiri Gabo ni mshamba sana tena hana swag iwe movie iwe kitaa Yaan hata huwa najiuliza hivi eatv wanapataje ujasiri wa kumpa promo mtu kama gabo???

Yaan hata wanaompigiaga kura najiuliza wana chuki na Rey au wana chuki na Tino??

Au kanumba alivokufa watu wamechanganyikiwa hawajui nani awe bora???

Hii mambo ha kusapoti kinachosapotiwa na media, mtakuja kusapoti ushoga baadae.
wewe mwishowe utakuja kudhani mzee majuto hamnazo!Unamzunguzia Gabo kama msanii au maisha yake halisi?
 
Anamwita mshamba kwasababu kavaa mablauzi.
 
Back
Top Bottom